Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Mamb ya kisheria na amri ya Mahakama ni magum sio ya kufanyia mzaha.Nakumbuka mtikila alitaka kukwepa kumlipa jamaa flani baada ya mahakama kutoa hukumu. Mahakama ikatoa hukumu tena kama hatamlipa jamaa chini ya masaa 24 akamatwe na afungwe miaka 3 na kulipa. Mtikila alilipa faster siku iyoiyo.