BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Nasikia harusi yake ilisimamiwa na Kikwete kwa kila kitu, halafu baadae anakuja kumtukana, dahMusiba asipotuaga kwa pressure ataishia kuwa chizi, siku hizi nikiitazama ile sura yake namuona hayuko na amani, moyo wake mzito.
Angefanya atleast public apology angeweza kusamehewa na wale aliowakosea, ili apate amani, kwani nao ni binadamu pia, kuliko kukaa kwake kimya huku akiteketea ndani kwa ndani.