Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Bridger 😁😁😁😁😁
 
Sasa ni zamu yake akaujiuze pale Buguruni tuwe tunapumzikia😆
 
Hivi ni CCM ipi iliyomtumia huyu mtu kuwachafua watu mitandaoni? Hapo bado Shangazi hajaanza kudai chake

Nawasiliana na Maxence Melo ambaye nali alishatajwa kwa kuchafuliwa na huyu mtu ili afungue kesi ya madai

Dawa ya chawa ni kumsubiria at the end of the tunnel.

Asipolipa either aiombe mahakama kumpa hati ya kuwa amefilisika au Membe amuweke ndani hadi atakapolipa deni lake.
 

Ana bahati akina Zitto walichukulia pia, la sivyo angekimbia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…