Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Alipewa nafasi ya kukata rufaaMbali na yote, hukumu hii imekaa kukomoa na ya kisiasa zaidi kuliko ile ya kutoa haki!
Kaka Pascal upo wapi?
Nafikiri anaweza pinga hukumu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipewa nafasi ya kukata rufaaMbali na yote, hukumu hii imekaa kukomoa na ya kisiasa zaidi kuliko ile ya kutoa haki!
Kaka Pascal upo wapi?
Nafikiri anaweza pinga hukumu hii.
Bora mimba unaweza ukafanya abortion [emoji23][emoji23]Haya maisha! Sponsor anakutia mimba halafu anakufa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna somebody Mshana alifariki atakatangazwa redioni.. Mgonjwa wangu akasikia ile taarifa kunipigia akanikosa hewani.. Alikodi boda toka Kisiju mpaka Msata Kilingeni..[emoji23]
Dah[emoji23][emoji23]Kuna somebody Mshana alifariki atakatangazwa redioni.. Mgonjwa wangu akasikia ile taarifa kunipigia akanikosa hewani.. Alikodi boda toka Kisiju mpaka Msata Kilingeni..[emoji23]
Hivi hapo alipo muda huu akipitia yale majarida yake anakua anafikiria nin?[emoji2][emoji2]
Mm natamani wamfilisi wauze kila kitu chake ili iwe fundisho kwa wengine,hata kizazi kijacho kijifunze kupitia kwake
Dah! Huyu jamaa enzi za Magufuli alikuwa ni Chawa kweli kweli. Alikuwa anaamua tu leo ampe nani vidonge vyake!
Yaani alikuwa ni untouchable kama Bashite!!
Membe kaenda kukazia hukumu bado shangazi.. Je wale jamaa wa changia Musiba waliishia wapi? Walipata bei gani? Zilienda wapi?
Kivipi mkuu? Unapewa nafasi ya kukata rufaa ukiwa kizimbani?Alipewa nafasi ya kukata rufaa
Sio M ni B
Hii dunia kuna mambo yanachekesha sana. Yaani kujimwambafai kote kule sasahivi anaishi kama digidigi
Katika watu wenye wakati mgumu hii nchi ni yule musiba
Ha ha ha[emoji23]Wale jamaa walioukuwa wachangisha nilikuwa nakula nao bia pale tabata small planet jioni, kila siki baada ya kufunga mahesabu!
Jamaa boya Sana. Unajitia kiburi kisa Rais ana kussuport bila kujua siku akifa itakuwa shida.Sidhani ana thamani hata ya milioni 9 kwa sasa yeye na ukoo wake wote achilia mbali hizo bilioni.
Karma is a bitch.
Hata waliohukumiwa gerezani wanahiyo nafasiKivipi mkuu? Unapewa nafasi ya kukata rufaa ukiwa kizimbani?
Kuna kitu sielewei hapa ngoja nijidhihirishe na uwasilishaji wa Taarifa hi.
Bilioni 9 nyingi Sana. Hata michango wa mwaka mzima hufikishi.Aweke namba yake ya simu watu wamchangie na hasa Team Mwendazake atapata hela ya kulipa
Hili liwe onyo kwa chawa wa awamu ya sita na Lucas Mwashambwa kuwa Sponsor akifa unashughulikiwa.😁
Makada wamekuka ndukiiiMakonda mwenyewe aliyekuwa anawatengeneza hawa, hana uhakika kama hataguswa au wanaenda kwa zamu. Kwa hiyo hawezi kumsaidia.