econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbali na yote, hukumu hii imekaa kukomoa na ya kisiasa zaidi kuliko ile ya kutoa haki!
Kaka Pascal upo wapi?
Nafikiri anaweza pinga hukumu hii.
Kwenye sheria ya tort Kuna kitu kinaitwa punitive damages. Ni amri ya mahakama ya kulipa fidia kubwa Kama adhabu ya kutokurudia Jambo Kama Hilo Tena mbeleni.