Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Suuuubutu....I mean Thubutu. Tume ya haki jinai ipitie hukumu hii.
 
Tunaomba haki itendeke kwa waliomchafua Magufuli pia nae alipwe fidia alitukanwa sana mitandaoni
Mie naomba atokee Mwanasheria ambaye ataweza kuja Kumwakilisha Mama Janeth Magufuli.

Halafu tuje tuone jeuri ya bando.
 
Kuna majina hayafai kuwapa watoto yaani mtu anaitwa Musiba kweli? ona sasa si msiba huu umempata kweli huyu jamaa... shwain
 
Hivi hili tatizo la picha kutofunguka humu JF linaitokea mimi tu au na wengine?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Defamation haina uwakilishi Kwa mjibu wa Sheria zetu, Yule aliyetukanwa ndiye anatakiwa kulalamika tu na sio vinginevyo.
Acheni kukurupuka kupost vitu msivyovifahamu
Kwa hiyo unadai hakuna watu waliomshambulia na kumchafua Janeth Magufuli hapa kwa sababu ya Mme wake?
Unacho kifahamu ni nini? Kwani huyo Membe alijiwakilisha mwenyewe Mahakamani?

Kusema Mama Janeth naye aje kupata uwakilishi nayo kwa mujibu wa Sheria zetu sio sahihi?

Umenisoma vizuri au na wewe umekurupuka tu?
 
Kuna somebody Mshana alifariki atakatangazwa redioni.. Mgonjwa wangu akasikia ile taarifa kunipigia akanikosa hewani.. Alikodi boda toka Kisiju mpaka Msata Kilingeni..[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atauza hadi meno yake.
 

Punguza maneno mengi, kamsaidie Musiba kulipia fidia. Tofautisha maoni ya mtandao na kumchafua mtu hadharani kwenye tv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…