Pre GE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele."

"Lakini wale jamaa wawili (Tundu Lissu na John Heche), Mkurya wa Mara na huyu jamaa wa Singida mtani wake wakikaa pamoja ni hatari. Lazima tuwe wakweli ujio wa John Heche sio jambo dogo, kwahiyo combination (muungano/umoja) ya Lissu na Heche lazima huku CCM tutafakari sana kwa sababu ya misimamo yao, Mbowe na Wenje misimamo yao ya kawaida." - Musiba.
Your browser is not able to display this video.
 
VIDEO:
"Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele."

"Lakini wale jamaa wawili (Tundu Lissu na John Heche), Mkurya wa Mara na huyu jamaa wa Singida mtani wake wakikaa pamoja ni hatari. Lazima tuwe wakweli ujio wa Heche sio jambo dogo, kwahiyo combination (muungano/umoja) ya Lissu na Heche lazima huku CCM tutafakari sana kwa sababu ya misimamo yao, Mbowe na Wenje misimamo yao ya kawaida." - Musiba.

Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Your browser is not able to display this video.
 
Anaishauri Serikali ipeleke Mapolisi...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜
 
Katumwa na MboweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyu mjinga naona ndio come back yake kwa sasa. Hao Heche na Lisu watakuwa wanaandamana wenyewe, Keybord worrrs hawawezi andamana kamwe. Na njia pekee ya kuwaogopesha CCM na watawala wake ni maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…