Pre GE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Musiba bwana!!

Badala asalimie aeleze habari za alikokuwa anaanza mojakwa moja na mada. Haya tumekusikia. Akilo imeridi kichwani. Tuambie za huko mafichoni!!

Ananikumbusha wimbo wa ntoke vipi!!
 
Mpinzani wako akukusifia fikiria kintume chase, ccm tunajua udhaifu wa Tundu lisu
 
hakika.
sasa hivi ni mwendo wa kufanya Siasa za JINO KWA JINO JICHO KWA JICHO JERAHA KWA JERAHA na KUCHOMWA MOTO KWA KUCHOMWA MOTO hadi kieleweke.
 
Na bado tunamhitaji Mwambukusi na Mdude pale. Lazima tuondokane na utawala wa kikundi kidogo cha watu. πŸ€“
aiseee mbona patawaka moto na tunawaomba polisi wetu watende haki wakae pembeni hatakama wanaona ccm inaangushwa Tanzania itabaki kusimama tu imara chini ya chadema
 
Anasema serikali takatifu!
 
Musiba ni Chawa wa Lissu huyu
 
wewe ccm unaijua? hiyo combination haiwezi kuwasumbua ccm kwanza hao jamaa hawana akili wala mbinu za kisiasa,ni watu wa fujo na vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…