D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Nasubiri muendelezo kwa hamu kubwa
 
Kila saa na refresh tekno yangu kitu akijapanda bado bila pilton leo naumbuka ebu tusaidie mkuu tupumzike kwa aman
 
Nadhani FBI walichoshindwa kukijua ni kwa namna gani D.B. Cooper aliweza kutoka kwenye ndege ile, kwa sababu inaonekana wazi kuwa Hakuruka na parachute siku ile! Na kama D.B. Cooper aliweza kuplan mpango huu na kuufanikisha kwa 100% ni Dhahiri kwamba si peke yake aliyehusika! Kuna uwezekano mkubwa watu kadhaa ndani au nje ya ndege ile walihusika!
 
Siajabu huyo Cooper hata hakuruka na parachute....labda alikuja kujishukia kimya kimya wakati watu wanahangaika kutafuta ziwani na porini....

Very interesting...

Hela kazitumia wapi?..hapo ndio kazi ipo, miaka yote hy ?
 


Inawezekana,lkn miaka yote hy hizo hela hawakuzitumia?maana walichukua namba za hela ili ku track,BTW napenda watu km D.B.Copper... Thanks@The Bold Mungu akubariki,utuwekee vitu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…