D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

Hani wangu nampenda
Anaisokomeza humo
Na akinibinua kiuno
Ninampatia miguno
Miguno miguno
Mibuno mibuno

Hani Hani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alisemwa sana anaimba Taarab sasa katuamulia tutakoma
 
kumbe miaka 34 na ndevu za mvi kweli mimi mzee.

simjui kabisa huyu kijana.
 
WanachofanyaWCB ni kitukizuri sana.

Inawezekana wana mapungufu ya kimuubdo hususani eneo la mikataba kwa wasanii wao. Sisi wadau tutatumia weledi wetu kuwaelimisha waweze kusajili vijana wengi zaidi.

Sekta inayokua inahitaji kuungwa mkono, kushauriwa na hata kushindanishwa na siyo kuzimishwa
 
Marvin's, Don Jazz
 
Nawashauri pia wamsajili msanii mkali wa muziki wa Taarabu ambaye pia ni kada wa ACT, Ndugu Wakazi.
 
Dogo ataenda kufundishwa jinsi ya kuwa na mahawara tu! na kuzaa zaa ovyo kama wenzake huo ndiyo ukweli. Vijana wote pale ni wahuni tu hawaeleweki! uhuni ndiyo ujanja. Kama ni mtoto wangu ningemtafutia label zenye uwezo wa kuendeleza watu wadogo
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…