LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Ili awe mdogo. Music industry Siri yake kubwa ni kuendeeleza ushetan ambao muasisi wake ni ibilisiDogo ataenda kufundishwa jinsi ya kuwa na mahawara tu! na kuzaa zaa ovyo kama wenzake huo ndiyo ukweli. Vijana wote pale ni wahuni tu hawaeleweki! uhuni ndiyo ujanja. Kama ni mtoto wangu ningemtafutia label zenye uwezo wa kuendeleza watu wadogo