D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo...
Wenzake wanapambana watoke yeye anataka kuuvaa mkenge mboso anatamani atoke ila hana jinsi inabidi apambane tu.
 
Dogo ataenda kufundishwa jinsi ya kuwa na mahawara tu! na kuzaa zaa ovyo kama wenzake huo ndiyo ukweli. Vijana wote pale ni wahuni tu hawaeleweki! uhuni ndiyo ujanja. Kama ni mtoto wangu ningemtafutia label zenye uwezo wa kuendeleza watu wadogo
Km label gani?
 
Hatimaye kimeeleweka
Sisikilizagi singeli ila huyu kijana alinifanya kuachana shingi ngapi niiweke kwenye play list.
Hivi nani aliproduce ule wimbo. Una beat kali sana amefanya samplingi za sauti fulani kwenye beat ndizo zilinifanya niupende huo wimbo kwenye intro na verse ya kwanza kuna sampling fulani nilizipenda sana.
 
Ana sauti flani hiv..kidogo waendane na ibra..
 
Bado sijaona wimbo mkali kutoka kwake…labda ngoja nijipe muda
 
Back
Top Bottom