Mare man
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 197
- 215
Jana jumamosi baada ya kutoka zangu shamba na kujirudisha home Kuna kamchepuko flan hv nimekawinda muda kidogo Jana kakajaa kwenye 18.
Nikajiandaa fresh, nikaaga home naenda kwenye kikao Cha harusi, kwakua kulikua na kabaridi flan nkapiga koti la suti na suruali ya jeans chini, nikazama guest nimekacall kakaja, nimepiga show nimemaliza, Kama kawaida hua siamini Sana manzi za nje kiimani ikabd ndox nizifunge kwenye gazeti niziweke kwenye mfuko wa koti ili nikifika nje nizitupe! Tumemaliza fresh, tumeagana nikatoka nje, ckua na usafiri so nikataka kuchukua boda, Sasa ile nimefika nje tuu nkakutana na mwanangu mmoja Yuko na usafr, Ni jirani, kaniuliza wapi mkuu? Nkamwambia naenda home, bila kukumbuka Nina ndox mfukoni nikajitupa garini haooo, mpk home, akanishusha, nimevua koti nkalitundika nikaenda kutulia seblen, Sasa wife hua ana kawaida nguo yoyote nikiivaa hua anasach halafu anaiweka kwa kapu la nguo chafu. Sina ili Wala Lile naona mtu anakuja seblen kafume hatari kabeba ndox mbichi, anauliza hizi Nini? Nkashikwa na kigugumizi. Hapa navokwambia kaondoka home Yuko kwa mama ake najishauri cjui ntaenda jielezaje!!