Daah! Fumanizi la weekend limenitia kiwewe

Daah! Fumanizi la weekend limenitia kiwewe

Mare man

Senior Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
197
Reaction score
215
Jana jumamosi baada ya kutoka zangu shamba na kujirudisha home Kuna kamchepuko flan hv nimekawinda muda kidogo Jana kakajaa kwenye 18.
Nikajiandaa fresh, nikaaga home naenda kwenye kikao Cha harusi, kwakua kulikua na kabaridi flan nkapiga koti la suti na suruali ya jeans chini, nikazama guest nimekacall kakaja, nimepiga show nimemaliza, Kama kawaida hua siamini Sana manzi za nje kiimani ikabd ndox nizifunge kwenye gazeti niziweke kwenye mfuko wa koti ili nikifika nje nizitupe! Tumemaliza fresh, tumeagana nikatoka nje, ckua na usafiri so nikataka kuchukua boda, Sasa ile nimefika nje tuu nkakutana na mwanangu mmoja Yuko na usafr, Ni jirani, kaniuliza wapi mkuu? Nkamwambia naenda home, bila kukumbuka Nina ndox mfukoni nikajitupa garini haooo, mpk home, akanishusha, nimevua koti nkalitundika nikaenda kutulia seblen, Sasa wife hua ana kawaida nguo yoyote nikiivaa hua anasach halafu anaiweka kwa kapu la nguo chafu. Sina ili Wala Lile naona mtu anakuja seblen kafume hatari kabeba ndox mbichi, anauliza hizi Nini? Nkashikwa na kigugumizi. Hapa navokwambia kaondoka home Yuko kwa mama ake najishauri cjui ntaenda jielezaje!!
 
Mkuu ebu ngoja kwanza ulibeba condom iliyotumika kwa nn ukarudi nayo nyumbani
Acha yakukute mwana kulitafuta mwana kulipata ukomeee

Mkuu ungenipa ushauri ungekua umenisaidia..
 
Unafanya vitu hatari then humakiniki wataki unavifanya..hizo ndomu mbichi ungeziacha huko guest kingetokea nini kwani??
 
Eti sijui nitajieleza vipi?😳🤣🤣 Mwambie wife mechi ya ugenini umeshinda bao moja tu la ushindi. Sio kama simba wao tatu🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole snaa mzee...mwambie uliziokota mahali ukaona ni uchafuzi wa mzingiraaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo ana umri wa miaka mingapi?

Mmezaa watoto wangapi.
 
Ah ha ha
Mtengenezw john bandia
Panga nae piga sim mbele ya ndugu yake
Sawa john ushavunja ndoa yangu sasa furahi...
Wewe kwenye koti uliponiwekeea mchango wa harusi umeweka na nini?
Ndio maana juzi ulinambia utanionyesha
Mzeee poa umeniwezaaaa
Ndom zako wife kaiona kawaka
Mbaya

Nioe niongeee nae...
Anaongea nae mchezo umeishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom