Daah kwa hakika Mungu ana namna yake ya kufanya kazi!!.

HOaawv5XIAAAqYU.jpg
 
Mpasuko mkubwa unakuja hadi kwenye bunge, tetegemee vifo vya ghafla kwa baadhi ya wabunge na mwisho mwenyewe aliyeketi juu....

Kuna harufu ya mapinduzi pia muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna muda mrefu....

Yote yanawezekana...
 
Daah kwa hakika Mungu ana namna yake ya kufanya kazi!!.

Hakuna Mwanadamu alitegemea Anguko ka CCM lingekuja kwa style hii

R.I.P in Advance !!.
Ni kweli samia atakufa soon timeline ya maisha yake yaliyobaki ni kuwa hakika havuki Dec 31 2027.
 
Mpasuko mkubwa unakuja hadi kwenye bunge, tetegemee vifo vya ghafla kwa baadhi ya wabunge na mwisho mwenyewe aliyeketi juu....

Kuna harufu ya mapinduzi pia muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna muda mrefu....

Yote yanawezekana...
Huo muungano unanipa kichefu chefu sana. Tumeungana na majitu mabinafsi na yenye roho mbaya kupita maelezo.
 
Daah kwa hakika Mungu ana namna yake ya kufanya kazi!!.

Hakuna Mwanadamu alitegemea Anguko ka CCM lingekuja kwa style hii

R.I.P in Advance !!.
Ngumu kutoboa 2030

Ameshafanya miscalcation ya formula vibaya sana
Wacha waendelee kwanza kumuweka ujinga
Uzuri hivi vichwa vyao havina akili kuzidi….
 
Back
Top Bottom