Daah kwa hakika Mungu ana namna yake ya kufanya kazi!!.

Mpasuko mkubwa unakuja hadi kwenye bunge, tetegemee vifo vya ghafla kwa baadhi ya wabunge na mwisho mwenyewe aliyeketi juu....

Kuna harufu ya mapinduzi pia muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna muda mrefu....

Yote yanawezekana...
Katika huo mtifuano, wananchi wa kawaida watabaki salama?
 
Huyo mungu amekuonyesha saa ngapi? Baada ya barua ya nchimbi au kabla? Yaani mungu aache kufanya ya maana aanze kukuonyesha kifo Cha samia😂, hili bara la giza linamsingizia sana mungu.
 
Mpasuko mkubwa unakuja hadi kwenye bunge, tetegemee vifo vya ghafla kwa baadhi ya wabunge na mwisho mwenyewe aliyeketi juu....

Kuna harufu ya mapinduzi pia muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna muda mrefu....

Yote yanawezekana...
kwenye bunge hakuna mpasuko wowote utakaokuja wabunge wote watanganyika ni wachumia tumbo njaa mbele wako loyal kwa samia na wanajua isingekuwa samia kuiba uchaguzi wasingekuwa wabunge sanasana wataishia kulalamika chinichini pindi wakiongea na watu wao wa karibu sana hakuna watakalofanya. Kuhusu mapinduzi nalo si rahisi jeshi na usalama ni ccm hawajawahi kuwa upande wa mama Tanganyika wao nao wachumia tumbo tu tena mafisadi papa na wanazidi kujitengenezea ukwasi wa kutisha na kumbuka mama alikuwa russia, na yupo na china, na waarabu wake huku mwanae gasho akiwa kadhibiti usalama wa faita maana ndiye mkuu wao, kule wj kajaza wazenji wameshadhibiti.
 
Nimemuona yupo UG kwa M7 akiongoza ujumbe wa serikali wakati hana cheo chochote serikalini na si mwaajiriwa wa serikali!
 
Back
Top Bottom