Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona sasa? Tobaaaah wee.
Ndo hivyo sasa, kuna demu mwingine wamem post kakodi airbus ya emirates A380-800 anaenda kwao mwakaleli mbeya kula krismasi. Yaani hiyo inabeba watu 800 na mabegi yao ya kilo 46 kila mmoja........ukikodi usisahau kunipa lift basiπŸ˜‰
 
Wazo zuri sana hili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie nawee nani anateseka na hilo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie nawee nani anateseka na hilo?
Ni mimi ndo maana nikaomba unipe lift siku utakapokodi dege la airbus kwenda kula krismas.
 
Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]
hata akiishi dubai jiji la Maraha na starehe nini Norway stress ni stress tu Fanta coca
 
Kumbe kuna watu mkipanda gari ni sehemu ya kupata furaha?
Kwa mantiki hiyo madereva wa mabasi ni watu wenye furaha sana.
Kila mtu na furaha yake mkuu, ukute dereva wa basi furaha yake ni kuto kuendesha basi mwaka mzima na malipo akalipwa, halafu huyu dada furaha yake ni kupanda basi la watu 60 akiwa yeye na mwanae tu
 
waeke na smoking zone kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…