humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Kweli kabisa mkuu. Jana utv wamerusha hii habari kwenye taarifa ya habari.Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]