Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli Kariakoo-Tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
Good idea
 
Watu wana mind wkt unaambiwa katumia zaidi ya laki sita
Wkt kna watu wakiendq kidimbwi sjui element wanatumiaa mpk milion na wakiamkaa maumivu
Huyu dada kajuaa kuenjoy na pesa yake

Ova
Halafu kapitia njia ya bagamoyo
 
Nyie ila wabongo sijui huwa wanawaza nini 🤣🤣🤣🤣🤣.

IMG-20211223-WA0001.jpg
 
Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]
Hiki kitendo kinahalalisha tozo ziendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli Kariakoo-Tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
Safari ya hivi inabidi iwe ndefu kiasi.
 
Ulitakiwa uchukuwe clip dada akiwa ndan ya gari ili tuamini je kama kapiga tu picha kasimama hapo njee! Na tena umepiga wewe huyo hiyo na inawezekana kabisa ni shemeji, ahsante kwa kutuonesha shemeji yetu, JF mna mambo na hivi vitu vinapanda bei kila kukicha tutaona drama kibao..
Kwani usipoamini wewe itaondoa ukweli wa habari!

Wewe fanya Kama hukuisikia hi habari, hutopata shida!
 
Back
Top Bottom