Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Huu ni Upuuzi kila mtu akikodi gari peke yake si barabara itajaa na kuongeza traffic..., huu ni ulimbukeni, angetengeneza na barabara yake pekee
Mwanangu naenda ubungo pale ofisi za abudi nikapambane nipate namba yake tuonane ili nimrudishie laki 6 zake ,Mana kashajitangaza hitajilake nimelijua mtoto anambana mama amwoneshe baba ,mama baba hamjui inaonesha ilikua bahati mbaya siunajua semina hukutana wengi au kazi yakudeti nawaume zawatu ndomatoleo

Ngoja nikawe baba wamtoto ,kufikia siotabu jamaa akijichelewesha naenda mahakamani tukamalizane na mtoto abadilishe ubini ukoo Mambo yaendelee
 
Huu ni Upuuzi kila mtu akikodi gari peke yake si barabara itajaa na kuongeza traffic..., huu ni ulimbukeni, angetengeneza na barabara yake pekee
HIzi hasira zako nenda kazitumie kuanzisha fujo kwenye kambi ya jeshi
 
Saafi sana.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] sio kwamba hana magari yake.anayo.Mbona wenzetu wanatoka hukooo mbali wanatumia zaidi ya mara 4 au 5 ya hii.Naunga mkono.

Hii basi ni ile yenye toilet, bed room 2,kitchen,sitting room kubwa upande wa nyuma, room ya vinywaji mbalimbali, wifi , tv kubwa unapata channel zote isipokuwa TBC,kuna dish kubwa imefungwa kwa nyuma.

Hii basi ni zaidi ya treni first class ni nzuri sana,sijui wameweka nini huko chini kwa nyuma maana mneso wake sio wa kwaida.Kuna wahudumu 5 pamoja na dereva.

Huu ni utalii wa ndani tumefundishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stress ukishindwa kuzimanage ni changamoto,hapo utakuta anamkomoa ex husband,nadhani ikiwa mtu amesomasoma angalau hata ana bachelor inasaidia kidogo
Narudia stress ni mbayaaa!yaani unahangaika kote ili mradi aone una furaha bila yeye kumbe ni stress tupu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekuambia km ana stress? Ila watu bhana lol
 
Kumbe kuna watu mkipanda gari ni sehemu ya kupata furaha?
Kwa mantiki hiyo madereva wa mabasi ni watu wenye furaha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni yeye anaitwa imelda john grant anaishi ana jumba lake mitaa ya tabata chama, za chini chini huyu dada analiwa na kigogo mmoja sekta ya madini alafu pia anauza ngada, njoo tabata alafu ulizia IMELDA JOHN au madam ime utapewa habari zake [emoji1474]
Huu wivu na roho mbaya, ndo nn kutaka kumuweka mwenzio pabaya iv? Una hakika km anauza ngada? Ila watu khaaaah
 
nawee naye ugumu wa maisha ndo unawafanya mtoe ndogo ili muhongwe. Kama sio ugumu wa maisha ungegawa bure na wanawake wenzako.

na wewe tafuta pesa uachane na habari za kuhongwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza makasiriko, tafuta pesa wee, acha kulia lia. Tafuta pesa khaaaah.
 
Ingekuwa ndio jinsia Me kakodi na mwanae nadhani comment zingekuwa ni positive kwa kuwa ni Ke basi ni negative . Kuna watu wanastress na maisha ya watu mpaka huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanangu naenda ubungo pale ofisi za abudi nikapambane nipate namba yake tuonane ili nimrudishie laki 6 zake ,Mana kashajitangaza hitajilake nimelijua mtoto anambana mama amwoneshe baba ,mama baba hamjui inaonesha ilikua bahati mbaya siunajua semina hukutana wengi au kazi yakudeti nawaume zawatu ndomatoleo

Ngoja nikawe baba wamtoto ,kufikia siotabu jamaa akijichelewesha naenda mahakamani tukamalizane na mtoto abadilishe ubini ukoo Mambo yaendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu, tafuta pesa,lol
Pesa ninayo dada, sema tu unataka nikumegee shilingi ngapi..........ila usiende kukodi basi ni matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Pesa ninayo dada, sema tu unataka nikumegee shilingi ngapi..........ila usiende kukodi basi ni matumizi mabaya ya rasilimali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna pesa wee, wala sihitaji mie.
Tafuta pesa acha kulia lia lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna pesa wee, wala sihitaji mie.
Tafuta pesa acha kulia lia lol.
Wacha wee, basi kama sina naomba nije nikusaidie matumizi.........tukavinjari na Abood mbugani, kama ni mkoba nitakubebea......
 
Hakuna mwenye stress Wala depression jomba bali Kila mtu anaelezea vile anavyoona na ndio raha ya jf mawazo tofauti kwenye mada moja, Kila mtu maoni yake yaheshimiwe tafadhali.
Kwanini uumie na maaamuzi binafsi ya mtu kukodi bus kama sio msongo wa mawazo?!
 
Back
Top Bottom