Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hela aliyolipa ni zaidi ya hiyo hesabu yakoKubaniana kula tu hapo.
Madereva wanategemea hela ya washukia njiani na wanaosimama wale yeye amewabania.
Qqqmmkk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela aliyolipa ni zaidi ya hiyo hesabu yakoKubaniana kula tu hapo.
Madereva wanategemea hela ya washukia njiani na wanaosimama wale yeye amewabania.
Qqqmmkk
Umaskini ni mbaya sanaNegative comment jamani wabongo tuna stress akiii
Mindset yako sio yake, coolSijui tunatofautiana au ndo ile mambo ya ugonjwa wa akili au ndo kikii mimi kusafiri tu huwa n michosho Sana sidhani Kama kuna starehe kwenye kusafari umbali mrefu
Kwann mibongo mnawaza kukomoana tu, cant you be positive just for a short while ?Angekuwa nazo angeteleza na V8 yake binafsi, kama hata hiyo imemshinda angeteleza hata na kavits au Ist asingekodi basi.
Huyo ni aina ya muhaya flani hivi misifa isiyo na maana. Labda anazani anamkomoa hawara yake aliyetoswa nae, kumbe anajiumiza mwenyewe tuuu. Wanawake wana akili kisoda sana.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Watu wana mind wkt unaambiwa katumia zaidi ya laki sita
Wkt kna watu wakiendq kidimbwi sjui element wanatumiaa mpk milion na wakiamkaa maumivu
Huyu dada kajuaa kuenjoy na pesa yake
Ova
Na wewe kahongwe kama ni rahisi hivyoWadada wengi ni wazur sana kwenye kutumia pesa, hata wafanyabiashara wanawapenda sana Wateja wa kike kuliko wa kiume, mm nahisi asilimia kubwa pesa wanazipata kiurahisi, imagine mtu bao moja anahongwa kuanzia 50000
Ilimpeleka hadi Hotelini[emoji2][emoji2][emoji2]Halafu akashukia Mbezi???
Kuna watu watasema ni chombo ya bosi
yea am coolMindset yako sio yake, cool
Hili taifa lina watu wana hasira za hovyoooooVijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?
Ni maajabu Mkuu..Comments nyingi ni za umasikini tu
Eti mtu hawezi kufanya hivyo kama kazitolea jasho
Nani kapanga haya ?
Hela zake halafu kuna watu wanampangia ooh stress kweli mwenye stress atakodi Bus na kumfurahisha mwanae
Nakazia[emoji419]Vijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?
Ndio kwanza Mungu atamzidishia azidi kupata pesa zaidi
[emoji23]Singo dad umeumizwa sana na hicho kitendo
Mwanaume anahonga, kama ww unahongwa pole sana kijana sidhani kama marinda yatakuwa salama.Na wewe kahongwe kama ni rahisi hivyo
Hahaha hasira wanahamishia kwa wengineHili taifa lina watu wana hasira za hovyooooo
bac tufanye 1MHela aliyolipa ni zaidi ya hiyo hesabu yako
Full makasirikoHahaha hasira wanahamishia kwa wengine
Ova