Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Kama leo inata kila mtu anaponda nyumba ya luludiva wakati ule ndio uhalisia wa maisha yetu 90&%.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nawee umeona? Nlikua nacheka comments za fb lol
 
Sas

Tumia akili, alichonunua ni hii publicity unayompa. Pia hiyo picha haimaanishi ulichosema ni kweli
Unaponiambia nitumie akili you're insulting my intelligence naomba tusifike huko mkuu. Publicity or not, she did it for own reasons.
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
🙌🙌
View attachment 2052624🙌🙌
Saafi sana.👏👏👏👏👏 sio kwamba hana magari yake.anayo.Mbona wenzetu wanatoka hukooo mbali wanatumia zaidi ya mara 4 au 5 ya hii.Naunga mkono.

Hii basi ni ile yenye toilet, bed room 2,kitchen,sitting room kubwa upande wa nyuma, room ya vinywaji mbalimbali, wifi , tv kubwa unapata channel zote isipokuwa TBC,kuna dish kubwa imefungwa kwa nyuma.

Hii basi ni zaidi ya treni first class ni nzuri sana,sijui wameweka nini huko chini kwa nyuma maana mneso wake sio wa kwaida.Kuna wahudumu 5 pamoja na dereva.

Huu ni utalii wa ndani tumefundishwa.
 
wamezoea kupokea kutoka kwa madume bila kuvuja jasho ndo maana hawana uchungu na pesa.

wanachojua ni kunyosha mguu na kuinamia mikuyenge tuu

na wa kuhongwa wengi wao hawana marinda ni mwendo wa kuchafua hali ya hewa ovyo,

kujinyea ovyo tuu na kuvaa pampas kama mtoto kumbe jidada zima au jimama kabisa.
Mkuu umeongea kwa bonge la foam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?
Ni kitu Cha ajabu sana mkuu, wabongo sijui uwafanyie nini. Leo hii mfano diamond Platnumz akaamua kupanda dalala kutoka madale kwenda posta, maneno hayatoweza kukosekana
 
Stress ukishindwa kuzimanage ni changamoto,hapo utakuta anamkomoa ex husband,nadhani ikiwa mtu amesomasoma angalau hata ana bachelor inasaidia kidogo
Narudia stress ni mbayaaa!yaani unahangaika kote ili mradi aone una furaha bila yeye kumbe ni stress tupu!
 
Itakuwa katemwa huyu sasa anataka kuonyesha umwamba kwa huyo baba wa mtoto kuwa yeye ni mwanamke wa shoka kama wenyewe wanavyo jiita.

Kwavyovyote tu huyu hakosi kuwa wale wanawake wanaotaka kuwa wanaume kwenye familia zao mwisho wanajikuta na stress.

Huruma ni kwa huyu mtoto kwasababu mama atafanya yote ili kumkomoa baba ila kuna wakati utafika atachoka kufanya haya anayo yafanya mwisho atamtumia mtoto kama fimbo kumchapia mzazi mwenzake pamoja na kumjaza sumu mtoto kwa zile kauli "huna baba wewe ".
Mwishoni anaomba poo,muda ni mzuri sana kusubiri
 
Mbona kila siku tunawaza mabaya tu.Nani kakwambia kuwa huyu dada sio mwanandoa.Hayo ni makubaliano yao wawili.Mme yuko zake nje kikazi ni mfanyabiashara xmas hatakuwepo nchini.Mama naye kapata hiyo offer.

Nani kakwambia mtoto atapata shida,Wewe jali wa kwako.Endelea kuchapa kazi Jan to Dec.to Jan.miaka nenda rudi.Lakini huthubutu kuketi mahali ukala hata chakula kizuri.We ni kimbia kimbia tu.Huoni kina mangi wanapotea mijini kuanzia tarehe 20 Dec.mpaka 5 January ndo wanarejea tena mjini na miji inaanza tena kucheka.Nawapenda sana kina mangi.Huyu dada sina wasiwasi ni mke wa mangi anawpitia familia ya mme wake waelekee mgombani.

Happy christ mass
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajaa wanachuo hizo dala dala aan wanapenda sana sifa lol.
Hahahahah kweli lakini maana mjuba kulipa. Luteni kisa tu AC na bia ni uongo
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
🙌🙌
View attachment 2052624🙌🙌
Rangi iliopakwa kwenye machuma yanayotembea vinaleta furaha?
It is very difficult to find happyness.
Wazungu wameunda mavitu mengi bado hawajaipata furaha mpaka wanaamua waje Africa waone tembo simba,nyani,masai, maporomoko lakini bado hawaipati.
Furaha ni kama kesho, you never reach tomorrow like wise happyness.
 
Kumbe kuna watu mkipanda gari ni sehemu ya kupata furaha?
Kwa mantiki hiyo madereva wa mabasi ni watu wenye furaha sana.
 
Wengi wana Husda na roho mbaya, ndio maana unakuta mtu ukisema ukweli kuwa una kitu fulani ambacho wengi wao hawana wataanza kubeza kwa kuwa tu hawana uwezo nacho

Huku last year kuna msichana kazini ameenda round trip duniani kwa Meli
Kakusanya hela mwaka mzima akafanikisha dhamira yake miezi 3 na kazi aliacha
Aliporudi akaomba tena akapewa

Sasa huyo sijui wangesemaje hawa wachawi [emoji23][emoji12]
Watakwambia ana stress. Kumbe wao ndio stress zimewazidi hadi kutaka kila mtu aishi kama wao
 
Itakuwa katemwa huyu sasa anataka kuonyesha umwamba kwa huyo baba wa mtoto kuwa yeye ni mwanamke wa shoka kama wenyewe wanavyo jiita.

Kwavyovyote tu huyu hakosi kuwa wale wanawake wanaotaka kuwa wanaume kwenye familia zao mwisho wanajikuta na stress.

Huruma ni kwa huyu mtoto kwasababu mama atafanya yote ili kumkomoa baba ila kuna wakati utafika atachoka kufanya haya anayo yafanya mwisho atamtumia mtoto kama fimbo kumchapia mzazi mwenzake pamoja na kumjaza sumu mtoto kwa zile kauli "huna baba wewe ".
Mawazo ya kimaskini
 
Back
Top Bottom