Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
Mshamba tu huyu hana lolote, bila shaka atakuwa masalia ya sukuma gang..! Ndo publicity zao hizi!
 
Amejipa Raha mwenyewe. Kwa udogo wa huyo mtoto, atakuwa alilala muda mfupi baada ya basi kuanza kutembea, na Kwa sasa hata hakumbuki hilo tukio, kama ambavyo lililokuwa linatokea, hakujua umuhimu wake.
 
Hizi story copy and paste mbaya sana jamani.. angalia huu ujinga unavyo trend. Dada wa watu kajipigia tu picha yashakua haya
 
Kuna siku Mke wa David Benkam, Viktoria Benkam, alienda saloon mtaa wa pili kwa Haikopta, wambea walipomuuliza kisa Cha kwenda mtaa wa pili kwa helkopta ni Nini, aliwajibu kwa ufupi 'kwani kazi ya pesa ni nini?'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli kariakoo-tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amkodishie mtoto ndege au boti ya kisasa,njiani magari mengi,matututa na mashimo. Mtoto hajainjoi vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio daladala labda imshushe kila mtu getini au bar nzuri[emoji23] na hizo bia muwe mnauziwa!

Sema hii Idea nzuri sana[emoji23] maana dereva akipiga trip zake 3 tu kakamilisha hesabu watu maximum wawe 10 tu ndani halafu wahudumu wawili na dj pamoja na dereva tu[emoji28]

Kwa wabongo wanavyopenda raha lazma watakuwa wanazipanda daily! Mtu anaona bora aanze kumenya tu ndani ya dala dala mumshushe kwenye bar anayotaka njia ya tegeta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajaa wanachuo hizo dala dala aan wanapenda sana sifa lol.
 
Back
Top Bottom