Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Acha chuki mkuu usipangie mtu matumizi kama hukutafuta nae....., TAFUTA PESA

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kisa una pesa ruksa kuagiza kreti zote za bia baa na kuamuru zitumike kudekia choo.......unaelewa maana ya 'wise use of resources' au wewe mwenzetu una ubinafsi uliopitiliza tamaa ya fisi.......unajua athari kiasi gani kwenye mazingira hilo basi limefanya kwa kusafirisha abiria mmoja kinyume na uwezo wake wa abiria 65, au unachukulia mambo kijuu juu tu kama ilivyo akili ya ngozi nyeusi wengi.........
 
Ila Sijui dada aliwaza nini kukodi basi lote mwenyewe, maana hata gari ndogo anaweza kukodi na kulipa hiyo gharama kama yeye anataka show off,duh Ila basi kabisa? Labda alipewa lift gari ilikuwa na ishu zake tu kwenda moro bila abiria.
 
Kweli nchi inafunguka, nakumbuka enzi za rukhsa wakati huo kilo ya sukari ilikuwa kama Sh. 50 hamsini za Kitanzania lakini Kanda Bongo Man alipiga shoo Kilimanjaro Hotel na kiingilio kilikuwa Sh 100,000/- na tiketi zote ziliisha week moja kabla ya shoo yenyewe.

Sasa ukifuatilia aina ya wahudhuriaji ndio unagundua ni kwa nini tumefika hapa tulipo
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
Mi ningemshauri wakati wakurudi angekodi mabasi mawili sababu wapo wawili....super champion au burudan
 
Itakuwa katemwa huyu sasa anataka kuonyesha umwamba kwa huyo baba wa mtoto kuwa yeye ni mwanamke wa shoka kama wenyewe wanavyo jiita.

Kwavyovyote tu huyu hakosi kuwa wale wanawake wanaotaka kuwa wanaume kwenye familia zao mwisho wanajikuta na stress.

Huruma ni kwa huyu mtoto kwasababu mama atafanya yote ili kumkomoa baba ila kunawakati utafika atachoka kufanya haya anayo yafanya mwisho atamtumia mtoto kama fimbo kumchapia mzazi mwenzake pamoja na kumjaza sumu mtoto kwa zile kauli "huna baba wewe ".
100%
 
Jamaa kamzalisha, kamuacha na mtoto, sasa she’s is trying to show him kwamba yupo vizuri bado.
 
Sas
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
Tumia akili, alichonunua ni hii publicity unayompa. Pia hiyo picha haimaanishi ulichosema ni kweli
 
Wadada wengi ni wazur sana kwenye kutumia pesa, hata wafanyabiashara wanawapenda sana Wateja wa kike kuliko wa kiume, mm nahisi asilimia kubwa pesa wanazipata kiurahisi, imagine mtu bao moja anahongwa kuanzia 50000
wamezoea kupokea kutoka kwa madume bila kuvuja jasho ndo maana hawana uchungu na pesa.

wanachojua ni kunyosha mguu na kuinamia mikuyenge tuu

na wa kuhongwa wengi wao hawana marinda ni mwendo wa kuchafua hali ya hewa ovyo,

kujinyea ovyo tuu na kuvaa pampas kama mtoto kumbe jidada zima au jimama kabisa.
 
Back
Top Bottom