Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

angekuwa nazo angeteleza na V8 yake binafsi, kama hata hiyo imemshinda angeteleza hata na kavits au Ist asingekodi basi.

Huyo ni aina ya muhaya flani hivi misifa isiyo na maana. Labda anazani anamkomoa hawara yake aliyetoswa nae, kumbe anajiumiza mwenyewe tuuu. Wanawake wana akili kisoda sana.
Mbna una makasiriko sana wee? Kwani pesa zako? Kakuambia km anamkomoa mzazi mwenzake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tafuta pesa nawee ukodi New force lol
 
hizo hela utkuta amempa bosi mmoja hapa mjini kwavile amezaa nae ana mwachia mkwanja yeye ndo ana ufanyia fujo ikijua zi kiisha ata mpa tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa enzi za mwenda kuzimu huyu dada angefunguliwa kesi ya uhujumu au utakatishaji fedha na sasa angekuwa ananyea ndoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadada wengi ni wazur sana kwenye kutumia pesa, hata wafanyabiashara wanawapenda sana Wateja wa kike kuliko wa kiume, mm nahisi asilimia kubwa pesa wanazipata kiurahisi, imagine mtu bao moja anahongwa kuanzia 50000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kisa una pesa ruksa kuagiza kreti zote za bia baa na kuamuru zitumike kudekia choo.......unaelewa maana ya 'wise use of resources' au wewe mwenzetu una ubinafsi uliopitiliza tamaa ya fisi.......unajua athari kiasi gani kwenye mazingira hilo basi limefanya kwa kusafirisha abiria mmoja kinyume na uwezo wake wa abiria 65, au unachukulia mambo kijuu juu tu kama ilivyo akili ya ngozi nyeusi wengi.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu, tafuta pesa,lol
 
Aisee vijana wana stress sana nchi hii! Wamejaa chuki na negativity tu

Wengi wana Husda na roho mbaya, ndio maana unakuta mtu ukisema ukweli kuwa una kitu fulani ambacho wengi wao hawana wataanza kubeza kwa kuwa tu hawana uwezo nacho

Huku last year kuna msichana kazini ameenda round trip duniani kwa Meli
Kakusanya hela mwaka mzima akafanikisha dhamira yake miezi 3 na kazi aliacha
Aliporudi akaomba tena akapewa

Sasa huyo sijui wangesemaje hawa wachawi [emoji23][emoji12]
 
wamezoea kupokea kutoka kwa madume bila kuvuja jasho ndo maana hawana uchungu na pesa.

wanachojua ni kunyosha mguu na kuinamia mikuyenge tuu

na wa kuhongwa wengi wao hawana marinda ni mwendo wa kuchafua hali ya hewa ovyo,

kujinyea ovyo tuu na kuvaa pampas kama mtoto kumbe jidada zima au jimama kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan una hasira weye lol.
Tafuta pesa acha kulia lia. Nawee nyoosha miguu na uinamie mkunyenge, ili upate hizo pesa, kwan unakwama wapi? Khaaaaah
 
Vijana wana stress na makasiriko sana. Hela yake,kaamua kukodi bus hasira wanapata wengine! Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?
YAan watu wana chuki, wivu na hasira hii nchi khaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We chukua Saratoga, piga DAR - Kigoma-DAR...
Kukomesha kabisa next year unalipia seat zote kwenye LIDRIMULAINA, DAR to CHATO unamuenzi shujaa JPM.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom