Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Sijui tunatofautiana au ndo ile mambo ya ugonjwa wa akili au ndo kikii mimi kusafiri tu huwa n michosho Sana sidhani Kama kuna starehe kwenye kusafari umbali mrefu
 
Ukiwa nazo hakuna kinachoshindikana
Angekuwa nazo angeteleza na V8 yake binafsi, kama hata hiyo imemshinda angeteleza hata na kavits au Ist asingekodi basi.

Huyo ni aina ya muhaya flani hivi misifa isiyo na maana. Labda anazani anamkomoa hawara yake aliyetoswa nae, kumbe anajiumiza mwenyewe tuuu. Wanawake wana akili kisoda sana.
 
Makopolo zima mtu m1 na mwanae!

Atakuwa alikaa siti gani humo ndani!
Alipokuwa akienda huko kwake kuna uwanja wa kutosha kupaki basi, ama lilimteremshia njiani?

Napendekeza hii habari izushwe sana ili iwe ni kituko cha kufungia mwaka 202.
 
Hv maximum hapo alilipa laki ngapi kwa hyo route?
 
Ingekuwa enzi za mwenda kuzimu huyu dada angefunguliwa kesi ya uhujumu au utakatishaji fedha na sasa angekuwa ananyea ndoo
 
Natamani kuelewa mantiki ya Kukodi Basi zima yeye na mwanaye tu.

Anyway, cha ajabu kwako ni Fantasy kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom