Dorome
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 397
- 746
Mtu pesa zake unataka umpangie matumizi.Pole dadaa kwa tabu ulizozipata..hiyo fedha laki sita bora ingeenda kuwasaidia wasiojiweza tu!
Tafuta pesa bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu pesa zake unataka umpangie matumizi.Pole dadaa kwa tabu ulizozipata..hiyo fedha laki sita bora ingeenda kuwasaidia wasiojiweza tu!
Dullah makabila - NikizipataKaenda na moja kichwani kwa ile wimbo wa mjinga mmoja wa singeli kwamba akizipata sijui anaotwa nani ata
That's Liberty, yeahDo anything to make yourself happy and comfortable while abiding by the rules of the country.
Eh pesa yake mnataka kumpangia matumiz tenaPole dadaa kwa tabu ulizozipata..hiyo fedha laki sita bora ingeenda kuwasaidia wasiojiweza tu!
Ndiyo Ukweli WenyeweUkiwa nazo hakuna kinachoshindikana
Si unajua wadau wa JF warembo wakarii
Hio daladala labda imshushe kila mtu getini au bar nzuri😂 na hizo bia muwe mnauziwa!Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.
Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli kariakoo-tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.