Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli kariakoo-tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
Kwani kulikuwa Kuna ulazima wowote mhudumu kuwa na MATACLE makubwa.?
Mi nimeelewa hapo tu basi!!

Nishaweka na taswira ya mhudumu!!
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
View attachment 2052624
Ulitakiwa uchukuwe clip dada akiwa ndan ya gari ili tuamini je kama kapiga tu picha kasimama hapo njee! Na tena umepiga wewe huyo hiyo na inawezekana kabisa ni shemeji, ahsante kwa kutuonesha shemeji yetu, JF mna mambo na hivi vitu vinapanda bei kila kukicha tutaona drama kibao..
 
Watu kama hawa enzi za mwendazake ili bidi wale bata kwa kujificha vinginevyo utapewa kesi ya uhujumu uchumi au utakatishaji fedha😂😂😂😂
 
Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli kariakoo-tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
Bonge la wazo mkuu, tutafute mtaji tufanye implementation

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
ulitakiwa uchukuwe clip dada akiwa ndan ya gar ili tuamini je kama kapiga tu picha kasimama hapo njee! na tena umepiga ww huyo hyo na inawezekana kabisa ni shemeji,, ahsante kwa kutuonesha shemeji yetu,, jf mnamambo na hiv vtu vinapanda bei kila kukicha tutaona drama kibao..
Sawa bwana kuuu, ungemalizia tu ma

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hio daladala labda imshushe kila mtu getini au bar nzuri😂 na hizo bia muwe mnauziwa!

Sema hii Idea nzuri sana😂 maana dereva akipiga trip zake 3 tu kakamilisha hesabu watu maximum wawe 10 tu ndani halafu wahudumu wawili na dj pamoja na dereva tu😅

Kwa wabongo wanavyopenda raha lazma watakuwa wanazipanda daily! Mtu anaona bora aanze kumenya tu ndani ya dala dala mumshushe kwenye bar anayotaka njia ya tegeta
😂😂Wengine watazungukanayo.
 
Back
Top Bottom