Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119] View attachment 2052624
Miaka hiyo jamaa naye alikodi bus akaenda nalo kijijini kuonesha kuwa anawazidi wanaokodi taxis
 
Siku moja wabuni daladala yenye kiyoyozi ya kukaa watu chini ya nne, meza safi, viti mzunguko vya kutazamana, counter yenye bia, mhudumu mwenye matacle makubwa, dereva mstaarabu mwenye mwendo wa bibi harusi, muziki safi na dj wa mkale.

Naamini hiyo daladala haitakosa wateja wala bata.
Nauli kariakoo-tegeta iwe 10000 hivi.
Yaani ninyi mmebanana kwenye mwendokasi mnawaona wenzenu wamekaa kwa kukunja nne na glass ya safari baridi kwenye daladala ya upande wa pili.
Mhudumu mwenye matako makubwa.
 
Back
Top Bottom