Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Wacha wee, basi kama sina naomba nije nikusaidie matumizi.........tukavinjari na Abood mbugani, kama ni mkoba nitakubebea......
Huna pesa weyeee, tafuta pesa acha kulia lia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
cocastic habari njema huyu dada.. nimeshapata jina lake anaitwa susa boateng.. kaishaaa kitongaaaaa
Unapenda sana u mariooo wee mtu, na hiyo avatar yako mie hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119]
View attachment 2052624[emoji119][emoji119]
Mkuu samahn naomba niunganishe nae nifanye nae interview
 
Waiona hyo!!!
FB_IMG_1640193486261.jpg
 
Makopolo zima mtu m1 na mwanae!

Atakuwa alikaa siti gani humo ndani!
Alipokuwa akienda huko kwake kuna uwanja wa kutosha kupaki basi, ama lilimteremshia njiani?

Napendekeza hii habari izushwe sana ili iwe ni kituko cha kufungia mwaka 202.
Yutong kiazi wewe sio marcopolo
 
Poa tu, hata wewe huna ndo maana wadau hawajaku post ukiwa unajiachia kwenye Abood kama huyo bibie.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona sasa? Tobaaaah wee.
 
Back
Top Bottom