Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wake wa kuoa hao sasa....siyo mnaangalia kucha ndefu tu sijui watabebaje hizo gongo....
Wewe ni hasara[emoji23]Moja kwa moja apewe zawadi ya mimba na mumewe kama nishani ya ushujaa
Hizo hizo kucha ni silahaNdo wake wa kuoa hao sasa....siyo mnaangalia kucha ndefu tu sijui watabebaje hizo gongo....

[emoji2][emoji2][emoji2]Mkikolomeana kidogo tu humo ndan utasikia "usinitibue akili yangu nazan uliona wale majambazi nilichowafanya, sasa wewe endelea tu"
Hizo hizo kucha ni silaha
police wanavopenda misifa yaani baada kuuwa wenyewe jambazi ili apate misifa, ukauwa wewe.... watakuhenyesha apo mtonyo wa nguvu lazima aisee... utackia lete tumalize kesi!Sheria zetu zinasemaje juu ya hili?
======
MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA
Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana na majambazi wengine ambao walivamia nyumbani kwao usiku kwa lengo la kuwaibia fedha.
Tukio hilo la kutisha limetokea hivi karibuni saa chache mara baada ya mumewe kuwasili nyumbani akitokea kwenye biashara yake ya Mpesa akiwa na mauzo ya siku ndipo alipofanikiwa kumpiga na gongo kisha kupata msaada wa majirani wenye hasira kali ambao walimshambulia zaidi hadi kumuua huku majambazi wenzake wakifanikiwa kutoroka.
Chanzo: Global TV
Habari inaonesha alimpiga gongo halafu wananchi "wasiozipenda kampuni hewa za uchukuzi"(wenye hasira kali na kuwachukia majambazi) ndiyo wakampiga hadi akasema "haleluya tutaonana"!Sasa,mbona yeye hahusiki na kuua?Alimdhibiti kwa gongo asitoroke tu.Sheria zetu zinasemaje juu ya hili?
======
MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA
Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana na majambazi wengine ambao walivamia nyumbani kwao usiku kwa lengo la kuwaibia fedha.
Tukio hilo la kutisha limetokea hivi karibuni saa chache mara baada ya mumewe kuwasili nyumbani akitokea kwenye biashara yake ya Mpesa akiwa na mauzo ya siku ndipo alipofanikiwa kumpiga na gongo kisha kupata msaada wa majirani wenye hasira kali ambao walimshambulia zaidi hadi kumuua huku majambazi wenzake wakifanikiwa kutoroka.
Chanzo: Global TV
HUYO DADA NI SHUJAA/Japo polisi wanaweza kuhitaji chochiote kiajabuSheria zetu zinasemaje juu ya hili?
======
MWANAMKE ALIYEPIGANA NA JAMBAZI MWENYE BASTOLA NA KUFANIKIWA KUMUUA
Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana na majambazi wengine ambao walivamia nyumbani kwao usiku kwa lengo la kuwaibia fedha.
Tukio hilo la kutisha limetokea hivi karibuni saa chache mara baada ya mumewe kuwasili nyumbani akitokea kwenye biashara yake ya Mpesa akiwa na mauzo ya siku ndipo alipofanikiwa kumpiga na gongo kisha kupata msaada wa majirani wenye hasira kali ambao walimshambulia zaidi hadi kumuua huku majambazi wenzake wakifanikiwa kutoroka.
Chanzo: Global TV
Ha ha haaHapana kabisa, huyu anaweza kuua hata mumewe huyu…. mke ni yule hata akiona mende anajificha mgongoni kwangu.
Kama sheria inafuatwa, je cases ambazo majambazi wanauawa na polisi katika matukio, huwa utaratibu huu unafuatwa?hapo kuna self defence, defence of property na defence of a person. lakini hadi hiyo ifanyike jalada linatakiwa kufanyika committal liende High Court (ambayo ndio mahakama inayoshughulikia mauaji) na yeye akiri kosa kwamba ni kweli aliua lakini alikuwa anatetea mumewe, yeye mwenyewe na mali zao. atakuwa acquitted.