mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe ungeweza kupambana nao?
hao sio majambazi ni vbaka tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao sio majambazi ni vbaka tuuu
Polisi ajila yake ni ulinzi wa raia na mali yake. Hivyo polisi kuua jambazi katika mapambano au katika kulinda mali au maisha ya raia anakuwa ametimiza wajibu wake. Lakini raia akiua jambazi akiwa anatetea mali yake, uhai wake au mali/uhai wa mtu mwingine atafikishwa mahakama kuu kwa kesi ya mauaji na upande wa utetezi ndiyo utaifafanulia mahakama aina ya mauaji aliyoyafanya mshitakiwa. Upande wa utetezi ukithibitisha hivyo mshitakiwa ataachiwa huru.Kama sheria inafuatwa, je cases ambazo majambazi wanauawa na polisi katika matukio, huwa utaratibu huu unafuatwa?
kwa polisi kuna kitu kinaitwa kutumia reasonable force, na kwasababu wao ndio wapelelezi, kitu huwa inaishia hapohapo. ila wewe usiye mpelelezi/polisi usije kujidanganya, lazima ulale lockup.Kama sheria inafuatwa, je cases ambazo majambazi wanauawa na polisi katika matukio, huwa utaratibu huu unafuatwa?
Shetani hatokuandama kwa kuwadhuru watoto wake? 😂😂😂Ukimuua jambazi mwenye silaha tena home kwako Hakuna kesi wala laana. Damu ya jambazi, mwizi na mchawi hazina password zile hazina laana huwezi dhurika, wale ni watoto wa shetani Hakuna hatia yeyeto wala dhambi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndo wake wa kuoa hao sasa....siyo mnaangalia kucha ndefu tu sijui watabebaje hizo gongo....
Je wewe bibie utaweza pambana na majambazi pale ambapo mimi nitajificha uvunguni ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkikolomeana kidogo tu humo ndan utasikia "usinitibue akili yangu nazan uliona wale majambazi nilichowafanya, sasa wewe endelea tu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahNasikia askari aliyeajiriwa kwa kazi ya kunyonga kule gerezani, akishanyonga tu anadakwa kisha anasomewa mashitataka. Baada ya hapo anakiri ni kweli ameua ila ni kwa mujibu wa sheria.
Baada ya kuachiwa anavuta mfungwa mwingine ananyonga kisha anadakwa tena, yaani mzunguko ni uleule.
Labda na hii itafanana, yaani adakwe, asomewe mashitaka na akiri kuwa ni kweli ameua ila alikuwa anajilinda yeye na mumewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kabisa, huyu anaweza kuua hata mumewe huyu…. mke ni yule hata akiona mende anajificha mgongoni kwangu.
Hii kaliHapo labda wale majambazi wengine wajitokeze kumfungulia mashtaka kama Kubenea na Makonda 😁😁
Asipokaa kitaalamu hapo maaskari watakula shilingi zake kwa muda.
Wewe si kunguru utapaa tu,Je wewe bibie utaweza pambana na majambazi pale ambapo mimi nitajificha uvunguni ?