Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

Dada aliyemuua jambazi katika harakati za kumuokoa mume wake: Sheria imekaaje? Je, ana kesi yoyote ya kujibu?

Kama sheria inafuatwa, je cases ambazo majambazi wanauawa na polisi katika matukio, huwa utaratibu huu unafuatwa?
Polisi ajila yake ni ulinzi wa raia na mali yake. Hivyo polisi kuua jambazi katika mapambano au katika kulinda mali au maisha ya raia anakuwa ametimiza wajibu wake. Lakini raia akiua jambazi akiwa anatetea mali yake, uhai wake au mali/uhai wa mtu mwingine atafikishwa mahakama kuu kwa kesi ya mauaji na upande wa utetezi ndiyo utaifafanulia mahakama aina ya mauaji aliyoyafanya mshitakiwa. Upande wa utetezi ukithibitisha hivyo mshitakiwa ataachiwa huru.
 
Pamoja na nishani ya uthubutu / Ujasiri tutakayompatia , kama ana umri mdogo basi huyo apewe mafunz mafupi awe kopro, anatufaa kwa jeshi letu.
 
Kama sheria inafuatwa, je cases ambazo majambazi wanauawa na polisi katika matukio, huwa utaratibu huu unafuatwa?
kwa polisi kuna kitu kinaitwa kutumia reasonable force, na kwasababu wao ndio wapelelezi, kitu huwa inaishia hapohapo. ila wewe usiye mpelelezi/polisi usije kujidanganya, lazima ulale lockup.
 
Katiba ya JMT inakuamuru kuhilinda kabla yakulindwa nahawa wasioijua PGO akati wanalala naZo na kuamka nazo
 
Ukimuua jambazi mwenye silaha tena home kwako Hakuna kesi wala laana. Damu ya jambazi, mwizi na mchawi hazina password zile hazina laana huwezi dhurika, wale ni watoto wa shetani Hakuna hatia yeyeto wala dhambi.
Shetani hatokuandama kwa kuwadhuru watoto wake? 😂😂😂
 
Mkikolomeana kidogo tu humo ndan utasikia "usinitibue akili yangu nazan uliona wale majambazi nilichowafanya, sasa wewe endelea tu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia askari aliyeajiriwa kwa kazi ya kunyonga kule gerezani, akishanyonga tu anadakwa kisha anasomewa mashitataka. Baada ya hapo anakiri ni kweli ameua ila ni kwa mujibu wa sheria.
Baada ya kuachiwa anavuta mfungwa mwingine ananyonga kisha anadakwa tena, yaani mzunguko ni uleule.

Labda na hii itafanana, yaani adakwe, asomewe mashitaka na akiri kuwa ni kweli ameua ila alikuwa anajilinda yeye na mumewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Hapana kabisa, huyu anaweza kuua hata mumewe huyu…. mke ni yule hata akiona mende anajificha mgongoni kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama majirani wenye hasira kali walihusika basi hakuna kesi, vinginevyo angekuwa na kesi ya kujibu. Sheria za kiboya sana
 
Back
Top Bottom