Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

hapana si kweli...kwanza mi sijui hata album ya mwisho ya jay but I can tell you bey hata wakiachana leo hawezi kuchuja,wadada wengi ndio role model wao huyo na wanawake ni wengi...
usitafsiri hio video ukamake conclusion kuwa hampendi bana...
siamini kama bey ni insecure...

Bey moves her music through the industry easily, kwa connection na heshima ya mumewe. Jay provides her the platform, and maximum security. Without him, she'll go back to being just a J.Lo's wannabe.
 
I agree hapo sio kichapo ni jay z kaihandle situation kiustaarabu zaidi lakini duh inaonekana humpendi queen b,so you think she is there on top just because of jay?mi naona she choose to stick around kwasababu anampenda nothing more.....
Ile clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...

Yule Solange nae anaonekana 'mswahili' sana
 
Bey moves her music through the industry easily, kwa connection na heshima ya mumewe. Jay provides her the platform, and maximum security. Without him, she'll go back to being just a J.Lo's wannabe.
...exactly,tatizo kelele za wanawake zinawatia upofu!,huyo Solange kumfanyia vurugu jay hakumfanyi beyonce wala mdogo ake wawe juu ya jay,jamaa ni real gentleman!,always keep cool,with everything by his side!
 
Ile clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...

Yule Solange nae anaonekana 'mswahili' sana
ujue kuna siri kubwa ambayo hata sisi hatujaijua bado...
hahaha solange ni shidaa...
 
Huwa najiuliza "Nani anam'beba mwenzake kati ya hawa wanandoa"
Jibu nilikuja kulipata kwenye kuachana kwa C.Brown na Rihana

Tusubiri hawa nao wakiachana tuone nani ataadhoofika zaidi
 
Hii habari imeandikwa kinafki sana. Jay-Z hakupokea "kichapo", bali alifanyiwa fujo na akai-handle situation like a true man.

Jay can wife any chick, and make her a queen. Bey can't even find a Jay's match, let alone an upgrade. She knows, hence she sticks around.

Mitaa ya kwetu ukirushiwa ngumi mateke na bila kurudishia, nikichapo mkuu, acheni double standards...alipewa kichapo na asingerudishia queen b alikua ana monitor closely ile show.

Pia sikiliza vizuri lyrics za lemonade uilewe situation na mkwala wa Bey....na ndio uje na hiyo opinion yako ya Jay can mess with queen b.

Pia improve on your wording son, you can do better...pinga kwa hoja tu bila offensive language... that is low.
 
Wanaume wa Dar bana. Kutwa umbea kama wanawake sasa hapa mnadiscuss mwanaume kutendea haki kipara chake?? Nyie vip
 
Wanaume wa Dar bana. Kutwa umbea kama wanawake sasa hapa mnadiscuss mwanaume kutendea haki kipara chake?? Nyie vip
Mkuu pia unaweza tazama hii mada kwa mapana zaidi, kipo cha kujifunza hapa. Hii ni ndoa, kama tusikiavyo mtaani mtu aowe akiwa na pesa, au mtu aoe mwanamke mwenye kujiweza.....
Asa kwenye hili wote wanazo, na bado wana nguvu na wananendelea kuzitenengeneza. Nini kimemfanya mwanaume achepuke.....au je kwenye nyumba za watu kama hawa hakuna mivurugano....je pesa na vyote hivyo ndio ndoa imara....Je kuwa na mke bomba ndio kutokuchepuka....au je baada ya mchepuko ndio mwisho wa ndoa....kusamehe kupo?....na mengi tu. Labda kipo cha kujifunza zaidi ya kuji limit au kuwa single minded kwenye hilo tu la wanaume wa Dar...
 
Mitaa ya kwetu ukirushiwa ngumi mateke na bila kurudishia, nikichapo mkuu, acheni double standards...alipewa kichapo na asingerudishia queen b alikua ana monitor closely ile show.

Pia sikiliza vizuri lyrics za lemonade uilewe situation na mkwala wa Bey....na ndio uje na hiyo opinion yako ya Jay can mess with queen b.

Pia improve on your wording son, you can do better...pinga kwa hoja tu bila offensive language... that is low.

"Mitaa ya kwenu", fair enough.

Ukiongelea lyrics, then Jay amekuwa akikiri kupiga shows za nje mara kwa mara, na Bey hakufanya chochote. And we all know Jay is way past that stage of saying stuff just to rhyme.
"I be tryna chill, ladies wanna luv me
Every little city I go, luv me
Shawty must’ve heard, got the word, I move that D
Had it by a bladder, she like “oh I gotta pee”
What do you say about that?

Where is that offensive language you're talking about?
 
Kichapo 'the beat up" in lemonade as explained by Jimmy Kimmel

Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.

Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.

Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.

USA baby.......
 
Teh teh we jamaa huwa unaniachaga mdomo wazi.
 
Back
Top Bottom