mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
- Thread starter
- #61
Ishu ya counterfeit ni shida hata europe, wanakoma kishenzi wajanja wa east europe kwenye njaa kali huleta vitu hivyo kutoka asia na kuviingiza ki dizaini mipakani.....walianza na sigara za ku copy, ikaja vinywaji, urembo mara ikawa mavazi, na sasa electronic products, na wikizubaa tu evoque ya euro 40,000 wawez pata copy yake ya kichina below euro 20k.There's some merit to what you're saying.
However, those so called boutiques are full of knockoffs.
And yes, easy access to information, YouTube videos and the like are a source of inspiration to many who don't have the wherewithal to be where shit happens.
Thus they copy.
Juzi kuna kadada flani hivi kamjini ambako huwa kanauza sijui dstv receivers/ boxes...nilikaona kamepiga eti Gucci from head to toe.
Binafsi sidhani kabisa alichokuwa kavaa ni Gucci. Ni feki kila kitu.
But hey....to each his own.
Ila Tanzania iko mbioni kuja kuwa soko kubwa sana la counterfeits. Si Jordans, si Burberry, si Fendi,....you name it.....wajanja tayari washazikopi na zinauzwa mjini hapa.
Ushaona wapi pumps za Balenciaga zinauzwa elfu 50.....shilingi....?
Hapa Bongo ni swala la uwajibikaji kwa kila mtu kwenye kitengo chake mifumo na sheria za udhibiti zipo vizuri tu sema uwajibikaji na rushwa..........swala la ukaguzi entry points na viduka vya usambazaji,utoaji vibali na leseni, tbs, tra, wale wa food and drugs..............vyote vipo ni usimamizi tu mkuu.