hahaha naamini inawagusa vijana wa tandale kama Diamond, ukonga kama lady jay dee, mr Blue, shilole, Kina Chege mkubwa fela wa Temeke, Masanja mkandamizaji wa ludewa huko nakumbuka nilipita kijijini kwao huko 2010 sikumbuki hata kuona nyaya za umeme huko, kina joti na mpoki sijui wa buguruni .....pia kina Tunda man madee wa manzese...hata Mbwana samata mbagala huko, dada zetu wa magomeni, kinondoni etc wanaokwenda china, uturuki, brazil SA na kuja kuanzisha butiki zao.......and so many.
Nadhani access to information, hollywood movies, music, fashion, magazines, vibanda vyakuonyesha video uswahilini...inspired them to be who they are today na kuheshimika kwenye jamii kwamba; waweza kuona kusikia kuiga kuweka malengo nia kazi kwa bididi nakufikia malengo yako. wengi wao nadhani walijiuliza kwamba kama wale wanaweza sie tutashindwa nn.
They have good stories to tell..... na ni jambo jema kwa watoto wetu na future ya Tanzania.