Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

Nakumbuka hii ishu. Hasa hapo si wapo even, kale nje nakula nje tukija ndani barida

Nashangaa watu wanamhukumu Jigga kwa hearsay ilhali kuna hearsays hizo hizo kumhusu mkewe na mlinzi wake Julius....
 
Nashangaa watu wanamhukumu Jigga kwa hearsay ilhali kuna hearsays hizo hizo kumhusu mkewe na mlinzi wake Julius....
The american gangstar ndo anaonekan bad muda wote Beyonc anaonekan kama malaika kumbe both ni humans na madhaifu yao.

Let them do what they hv to do ili waeze ku survive na ku lead indstry huh
 
Thats ryt.....ila dude kaanza kitmbo kula mizgo mingine by the way ile ishu ya Bey na mlinzi wake iliishaga vip??

Iliishia kama rumour tu. Ingekuwa kweli, Mr bodyguard angetoweka illuminati's way (just kidding). Jay-Z is too proud to let his trophy wife become an OPP.
 
Iliishia kama rumour tu. Ingekuwa kweli, Mr bodyguard angetoweka illuminati's way (just kidding). Jay-Z is too proud to let his trophy wife become an OPP.
Hhaa Illuminati's way huh (jamaa aliwah mpa bit Chris kile kipindi kamchakaza Ril) God n Goddes.

Ila Bey kaanza kitambo kuonyesha kuna sme probs katika love yao thats why kuna show alipiga remix ya Drunk inlov kaweka mistar fulani ikawapa watu some qns, ukichek some hits zake kama Why dont Yu love me utaona tu.

Ila yote kwa yote God n Godds katik ubora wao
 
inabidi Zari na Dimondi nao wafanye kama hivi au Kibabu na Jokate
 
umenikumbusha vikwapa unakuta mtu kavaa vyema kabisaa lakini mkipishana kwapa hilooo.aisee wabongo na kunuka vikwapa tunatishaaa ,mwingine ana uwezo wa kununua deodorant lakin sijui anafurahia ile harufu
inabidi liwe somo hilii
Back in 1990's alipokuja Michael Jackson, kushuka kwenye ndege akakutana na harufu ya chemba za Maji taka. Akasema nchi inanuka , watz wamponda wakisema anaidhalilisha nchini yao. Lakini uhalisia jiji la dar linanuka kutokana na mifumo mibovu ya Maji taka.

Sent from my XT1080 using JamiiForums mobile app
 
Nataka nianzishe kampeni ya #ChukiaKikwapa# huko kwenye social media. Ila tatizo mi sipo huko kwenye 'Gram Na Twitter na sijui snapchat na periscope na hayo mazagazaga mengine.

Nisaidie basi huko kwingine halafu huku JF niachie mwenyewe.

Halafu kuna mabango nimeyaona ni tupu, hayana matangazo.

Napanga nije ninunue hizo spaces niweke matangazo ya kupiga vita vikwapa.
Good idea , unaweza kupata sponsorship kutoka kwa watengenezaji wa deodorant na perfumes.

Sent from my XT1080 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom