Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
hapana si kweli...kwanza mi sijui hata album ya mwisho ya jay but I can tell you bey hata wakiachana leo hawezi kuchuja,wadada wengi ndio role model wao huyo na wanawake ni wengi...
usitafsiri hio video ukamake conclusion kuwa hampendi bana...
siamini kama bey ni insecure...
Ha ha ha mwajuma we andaa tu handkerchief za kufutia machozi, bey anajifuta na midolalihahaha usiseme hivyo unaniumiza mie mwajuma
hahaha hatari mpaka bey yamemfika hapa mie mwajey itakuaje...ngoja niandae hata tenge maana handkerchief haitoshii....Ha ha ha mwajuma we andaa tu handkerchief za kufutia machozi, bey anajifuta na midolali
Hiyo clip ipo wapi nioneBeyonce jinsi alivyochuna kwenye lift wakati mdogo wake anafanya vurugu aliniacha na maswali mengi sana.
Ile clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...I agree hapo sio kichapo ni jay z kaihandle situation kiustaarabu zaidi lakini duh inaonekana humpendi queen b,so you think she is there on top just because of jay?mi naona she choose to stick around kwasababu anampenda nothing more.....
...exactly,tatizo kelele za wanawake zinawatia upofu!,huyo Solange kumfanyia vurugu jay hakumfanyi beyonce wala mdogo ake wawe juu ya jay,jamaa ni real gentleman!,always keep cool,with everything by his side!Bey moves her music through the industry easily, kwa connection na heshima ya mumewe. Jay provides her the platform, and maximum security. Without him, she'll go back to being just a J.Lo's wannabe.
ujue kuna siri kubwa ambayo hata sisi hatujaijua bado...Ile clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...
Yule Solange nae anaonekana 'mswahili' sana
Niliona sehemu Bey alikuwa kwenye birthday party ya Kelly Rowland akavua pete akasema kaichoka ndoa, ila baadae alikuja kukanusha na kusema kwamba alikuwa anatania na alikuwa kanywa pombe nyingi...May be kuna kituujue kuna siri kubwa ambayo hata sisi hatujaijua bado...
hahaha solange ni shidaa...
Hii habari imeandikwa kinafki sana. Jay-Z hakupokea "kichapo", bali alifanyiwa fujo na akai-handle situation like a true man.
Jay can wife any chick, and make her a queen. Bey can't even find a Jay's match, let alone an upgrade. She knows, hence she sticks around.
Mkuu pia unaweza tazama hii mada kwa mapana zaidi, kipo cha kujifunza hapa. Hii ni ndoa, kama tusikiavyo mtaani mtu aowe akiwa na pesa, au mtu aoe mwanamke mwenye kujiweza.....Wanaume wa Dar bana. Kutwa umbea kama wanawake sasa hapa mnadiscuss mwanaume kutendea haki kipara chake?? Nyie vip
Mitaa ya kwetu ukirushiwa ngumi mateke na bila kurudishia, nikichapo mkuu, acheni double standards...alipewa kichapo na asingerudishia queen b alikua ana monitor closely ile show.
Pia sikiliza vizuri lyrics za lemonade uilewe situation na mkwala wa Bey....na ndio uje na hiyo opinion yako ya Jay can mess with queen b.
Pia improve on your wording son, you can do better...pinga kwa hoja tu bila offensive language... that is low.
Teh teh we jamaa huwa unaniachaga mdomo wazi.Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
Teh teh we jamaa huwa unaniachaga mdomo wazi.