Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

Ishu ya counterfeit ni shida hata europe, wanakoma kishenzi wajanja wa east europe kwenye njaa kali huleta vitu hivyo kutoka asia na kuviingiza ki dizaini mipakani.....walianza na sigara za ku copy, ikaja vinywaji, urembo mara ikawa mavazi, na sasa electronic products, na wikizubaa tu evoque ya euro 40,000 wawez pata copy yake ya kichina below euro 20k.

Hapa Bongo ni swala la uwajibikaji kwa kila mtu kwenye kitengo chake mifumo na sheria za udhibiti zipo vizuri tu sema uwajibikaji na rushwa..........swala la ukaguzi entry points na viduka vya usambazaji,utoaji vibali na leseni, tbs, tra, wale wa food and drugs..............vyote vipo ni usimamizi tu mkuu.
 
Nimeona hiyo video clip ya Lemonade ya Beyonce, Ni pure diss kwa Jay Z. Mi huwa siamini haya mambo lakini sass mama naanza kuamini yule mjomba anapiga mechi za ugenini. Duh, wanaume haturidhiki yaani Alivyo Bey vile. Bado unatafuta mchepuko!
Game za ndani - ubunifu huuisha, hakuna chenga mpya, kona zote zishafahamika, mechi za ugenini ni muhimu ili kujipima iwapo bado unafiti kwenye team pinzani.

Unaweza kukuta vurugu za bibi jukwaani huwa zinapotea kwenye 6x6
 
Ukweli ula unauma,if I were Bey I would cheat too to neutralize the pain,but make sure he doesn't find out,B akiachana na huyu yani hata sijui nani wa kumuoa,
Hhahaah nilimsikia Wendy Williams ana washauri hawa celebrity ladies kwamba wakiachwa wasirudi nyuma, wawinde mabilionea ambao wameshazitengeneza tayari, kama Maria Carey, Naomi Campbell na K-lynn Ntuyabaliwe walivyofanya, badala ya kuhangaika na mastaa wa majina tu kama musicias na sport stars.......ambao talent ikinyauka na senti kwishnei...

kwahiyo Usishangae Beyonce kudaka Bilionea Sheikh wa middle east, au Russian bilionea oligarch wa mafuta, au a chinese bilionea tycoon...........hizo ndio possible targets maana hawa mabilionea huwalipa hawa mastaa kwenda kuwaimbia kwenye sherehe zao...
 
Game za ndani - ubunifu huuisha, hakuna chenga mpya, kona zote zishafahamika, mechi za ugenini ni muhimu ili kujipima iwapo bado unafiti kwenye team pinzani.

Unaweza kukuta vurugu za bibi jukwaani huwa zinapotea kwenye 6x6
hahahah sure man, au usikute ananyimwa kama zile za hapa bongo....I'm tired leo, kuwa mvumilivu sinipo bana.......
 
Reactions: bdo

Ni kweli. Lakini tofauti ya Western Europe/ US na huku ni (1) huku sijawahi kuona wala kusikia mfanyabiashara yeyote yule kakamatwa kwa kuuza fake merchandise. Na ndiyo maana unaona hizo high end products zinauzwa hata barabarani tu waziwazi. Kwa US ni nadra sana kukuta bootlegs zinauzwa hadharani. Na law enforcement huwa wanafanya raids za kushtukiza na kukamata wafanyabiashara wa hayo mafekero.

Tofauti ya pili, Yuropa na Marekani kubaini fekero ni rahisi sana. Kwa sababu, kwanza hutaki kuchukua chances unaweza kwenda moja moja kwenye maduka ya hao designers na kununua unachotaka. Hapo unakuwa na uhakika wa karibu asilimia 100. Huku kuna hata duka la Dior au Armani? Sidhani.

Au unaweza kwenda kwenye high end retailers ambao wanauza vitu aunthetic. Hapo napo uhakika ni mkubwa sana.

Lakini pia, siku hizi hao designers wengi wanatumia huduma kama za Certilogo ambazo hubaini kama bidhaa uliyonunua ni feki au aunthetic. Najua Versace wanaitumia Certilogo. Bidhaa inakuwa na code yake ambayo ndo inatumiwa ku authenticate.

Anywho, sorry for going off topic.
 
Yah ni off topic, ila ni opportunity to learn...........Ila fekelo ni fekelo to tazama walichofanya Volkswagen. Cheating ni cheating tu haina mchina wala mzungu, ingawa uzuri wa wazungu wakinaswa hukubali na kulipa, sidhani kama sie huku na asia tunayo hii tamaduni.
 

Haha umenikumbusha ushauri wa Bidada fulani kwa Wema kumbe alifuata ushauri wa Wandy Williums.Duh!
 
Nothing. Hivi ndivyo jinsi wana make money kwa stunt kama hizi, tayari beyonce kaisha tangaza Tour, na mzee mzima Jay Z ameonekana bega kwa bega na Beyonce katika maandalizi ya Tour.

NB: Kumbuka baada ya solange kuleta mtafaruku kwenye lift zilizagaa taarifa mbali mbali na zili break Internet, cheki matokeo yake sasa
1)Mauzo ya album kwa solange yalipanda kwa takribani asilimia 200
2) Mauzo ya ticket yalipanda maradufu kwenye 'On the Run Tour' ya Beyonce na Jay Z.

Na sasa hivi ndio kinachotokea tena.
 
Hilary Clinton ni mswahili?
 


hahhhaaaa ntafanya hivyoo,au vumbi ndio linasababisha nini ,huko insta ntakusaidia kupiga kampeni huku nakuachia wewe halaf umesahau na mdomo pia watu wananuka midomo kama choo cha stendi
hivyo vyote vinatakiwa vipigwe vita aisee
vumbini baby..
 
USA what? Malizia basi hapo.....

Heheheee halafu siku hizi watu kibao wanasema USA baby humu.

Hata wanaojifanya wananichukia (ingawa najua wananikubali tu hata kimoyo moyo) nao wanaisema USA baby.

Dinazarde baby.....


ukiona hivyo ujue limekubalika ,halaf si unajua maisha bila unafiki hayaendi .........JJ baby.....
 
Hivi JayZ na Beyonce wameachana? Kama ni udanganyifu kwenye mapenzi, kwa nini watu wanapenda kuongopeana?
 
Not really, simchukii Bey. And yes, she's on top cuz she's married to a rap god. Attitude ya Bey wakati Shaolinge anamshambulia Jay, haionyeshi kumpenda mshkaji kabisa.

Bey anabaki cuz anaogopa kuondoka. She's so insecure.
Thats ryt.....ila dude kaanza kitmbo kula mizgo mingine by the way ile ishu ya Bey na mlinzi wake iliishaga vip??
 
But who's to say Beyonce has never strayed?

Au watu mnasadiki tu kuwa hajawahi kuchepuka kwa vile yeye ndo mwanamke?

Hamjawahi kuzisikia tetesi za Beyonce kumegwa na bodyguard wake aitwayeJulius?

Jaribu ku Google hiyo kitu uone......
Nakumbuka hii ishu. Hasa hapo si wapo even, kale nje nakula nje tukija ndani barida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…