Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nakumbuka hii ishu. Hasa hapo si wapo even, kale nje nakula nje tukija ndani barida
The american gangstar ndo anaonekan bad muda wote Beyonc anaonekan kama malaika kumbe both ni humans na madhaifu yao.Nashangaa watu wanamhukumu Jigga kwa hearsay ilhali kuna hearsays hizo hizo kumhusu mkewe na mlinzi wake Julius....
Thats ryt.....ila dude kaanza kitmbo kula mizgo mingine by the way ile ishu ya Bey na mlinzi wake iliishaga vip??
Hhaa Illuminati's way huh (jamaa aliwah mpa bit Chris kile kipindi kamchakaza Ril) God n Goddes.Iliishia kama rumour tu. Ingekuwa kweli, Mr bodyguard angetoweka illuminati's way (just kidding). Jay-Z is too proud to let his trophy wife become an OPP.
Kuvipi!!!?Mimi hapo tu ndio huwa nachoka!
Hili sakata la Jay na Bey limenijenga sana kifikra.
Usiulize kuvipi.
JidanganyeMan are for many women, woman are for one man.
Konda , shusha " IS "Div five product you should write is not are because MAN is a singular while ARE discribes a plural.
Solange ana wivu na Dada yake na pia ana tabia za kiswahili (hood).Ile clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...
Yule Solange nae anaonekana 'mswahili' sana
It's true, hata vitabu vya dini vinaeleza hivyo.hakuna mwanaume anaeridhika kua na mwanamke mmoja,and that is the fact....!!
Back in 1990's alipokuja Michael Jackson, kushuka kwenye ndege akakutana na harufu ya chemba za Maji taka. Akasema nchi inanuka , watz wamponda wakisema anaidhalilisha nchini yao. Lakini uhalisia jiji la dar linanuka kutokana na mifumo mibovu ya Maji taka.umenikumbusha vikwapa unakuta mtu kavaa vyema kabisaa lakini mkipishana kwapa hilooo.aisee wabongo na kunuka vikwapa tunatishaaa ,mwingine ana uwezo wa kununua deodorant lakin sijui anafurahia ile harufu
inabidi liwe somo hilii
Good idea , unaweza kupata sponsorship kutoka kwa watengenezaji wa deodorant na perfumes.Nataka nianzishe kampeni ya #ChukiaKikwapa# huko kwenye social media. Ila tatizo mi sipo huko kwenye 'Gram Na Twitter na sijui snapchat na periscope na hayo mazagazaga mengine.
Nisaidie basi huko kwingine halafu huku JF niachie mwenyewe.
Halafu kuna mabango nimeyaona ni tupu, hayana matangazo.
Napanga nije ninunue hizo spaces niweke matangazo ya kupiga vita vikwapa.
Ukisikia umaskini wa fikra ndio huu sasaHivi nilisikia uvumi Jay z analiwa kiboga na p Diddy huu uvumi ni wakweli