Pombe na Starehe zinamaliz familia nyingi Nchini tanzania(Temporary post)
Kwa wakazi wa Dar.
Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe.
Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati anatafuta kazi.
Nawasilisha
Ndio ndioPombe na Starehe zinamaliz familia nyingi Nchini tanzania
Ana familia ya watu wangapi? Kwa maana ya watoto na wategemezi wengine(Temporary post)
Kwa wakazi wa Dar.
Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe.
Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati anatafuta kazi.
Nawasilisha
Kwa wasiojitambuaPombe na Starehe zinamaliz familia nyingi Nchini tanzania
Una taaluma yoyote au unatafuta kibarua?Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI
Kwa wasiojitambuaPombe na Starehe zinamaliz familia nyingi Nchini tanzania
Kigezo pekee ulichotaja ni dada, amekimbiwa na mme na amehifadhiwa.(Temporary post)