Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

(Temporary post)
Kwa wakazi wa Dar.
Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe.

Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati anatafuta kazi.

Nawasilisha
Fuatilia zaidi utakuja jeuri yake ndio imemtelekeza
 
Sometime msaidie mtu kwa situation iliyopo muda huo mengine yako ndani ya uwezo wake.
Yes uko sahihi sana mkuu na kwa vile ana watoto basi asaidiwe tu ili watoto wasiathirike zaidi huku maisha mengine yakiendelea, wakati natoa comment hiyo nilikumbuka situation kama hiyo ya jamaa yangu kaletewa jeuri na mkewe hadi hasira sasa mtu km huyo akija mitandaoni kuomba kusaidiwa ni rahisi kutuongopea!
 
Kila siku nasema,
Mtu ukiomba kazi, usifikiri mtu anakupa kazi kwa sababu ya kukusaidia matatizo yako.

Mtu anakupa kazi ili uwe na tija kwake.
Eleza ujuzi na uzoefu wako.
Onyesha uwezo.

Matatizo yako ni yako. Hakuna wakukuonea huruma zaidi yako na wazazi wako.

Sema dadaako anaujuzi gani, na yupo tayari kufanya kazi za aina fulani. Yupo Dsm.

Huruma haitakusaidia popote
 
Ni kweli
 
Dah kaka mbona unakabia kwa juu sana 😃 nimefafanua katika comment ya pili nadhani baada ya andiko.
 
Back
Top Bottom