Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Wale ni mbwa wa kutupwa wahind wale aiseee bora hawa waliokulia huku wanaongea kiswahili, kufanya kzi kwa wahindi ni mtihani haswa aisee
 
Sasa mkuu sisi tunasubiri uendelee na stori yako kumbe we umeenda kwa dada upanga
Huyu jamaa hana pa kuishi huyu ni chokoraa wale wanaotembeza kahawa na kulala kwenye korido. Sasa ona na dada yake majanga anayoyapata.
 
Si unaona sasa, unawasema wahindi ni wabaguzi. Ona hiki ulichoandika.

Wewe ni mbaguzi na ni mdini vile vile. Pole sana
Kuongea ukweli nao ni ubaguzi?, nikisema wakristo wanakula kitimoto sio ubaguzi ni ukweli
 
Mimi nilijua wakienda uarabuni ndo wanateseka, sasa hata kama nchini wanateseka kwann wanawazuia kwenda nje ya nchi?
 
kazini kwake unakwenda kufanya nini?
 
Tafiti zako umefanya kwa wahindi na waarabu wote kwamba wananyanyasa watu? Kama ni wote sawa. Lakini kumbuka kuna wengine wapo peponi huko mwaka wa kumi wanaishi kwa amani na upendo, wamepata familia zinazoijua dini. Na maendeleo home wanafanya na likizo wanapewa.
Unyanyasi ni tabia binafsi na sio ya jumla. Ukiona una nyanyasika umeridhia, si utafute boss mwingine?
 
Kule kuna bahasha,na mswahili mbele ya pesa ni mkate.Huoni kajala zuga zuga we kashindwa kuacha pesa za bure za kondeboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…