Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #121
Ndio walimshika matiti na mm nikiwepo mkuuHii taarifa mbona kama ngumu hivi.
Kwamba umeenda kumsalimia Dada yako kwa Muajiri wake?...mbona rahisi ingekuwa ni yeye kutoka kuja kukusalimia wewe unapoishi?.
Kwa hiyo hao Watoto walimshika mbele yenu nyie mliokuwa hapo sebuleni?.
Wewe ndouache bangi, kwani jamaa alichokosea kipi apoMarijuana hayakufai ndugu
Yeah sure not only bad but worstSo bad
Ndio ni lazimaNi lazima aendelee kufanya kazi hapo?
I.G.P. !I wish I could be..!
So what, you think being IGP you can avoid all kind of humiliation and discrimination found here in Tanzania?, the matter is not a power but togetherness and cooperation all of usI.G.P. !
Niombeenatamani uwe kiongozi mkuu najua utafanya kitu
Dah [emoji22]Kuna binti mmoja alikuwa anafanya kwa muhindi mmoja pale Morogoro hata vyoo hakuna kushare nao kula hadi wao wale washibe
Ni dada angu wa damu kabisa ila nawalia timing siku wafanye upuuzi either wampige au wamchome vidole hapo nadhani nitakachoenda kufanya mpaka BBC na CNN international watalipotiUna moyo wa Plastic Bro. Nina Uhakika huyo sio dada yako!! Nadhani hao wahindi Wangeenda kuhadithiana huko Bollywood.
Achana nao mkuu ila hii hali ikizidi mm naondoka nibaki Sina mtandao maana hata nikienda Twitter nawakuta wakina baba Levo na mwijakuJF kwa sasa imeekua ya hovyo kama makada wa Ccm.Mtu anasimulia kilicho mtokea we unapinga wakati hukuwepo huo ni upumbavu mkuuuu.
Chap nanywaSure kaka chukua Pepsi baridi kwa mangi
Nje ya nchi ni hatari zaidi ya ndaniSasa kama ume shindwa kumtoa uyo dada ako apo upanga tu .una washauri wanao enda njee ya nchi nini