Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Duuuhhhh!!

Nilikiwa bado sijaiona hii Dada yangu emmyta ebu mpige mzinga wa kueleweka tukanunue kile kiwanja tumalizie kamradi ketu.

 
Mpe mdogo wako kama yupo
 
Hii ni sawa na kibao cha uso kwa jamaa.
 
Yaani mtreat mwanamke mpaka unamuacha mwenyewe aamue kama yuko single au double, sio habari za kuanza kuulizana sijui una mtu na bla bla kama hizo.

Kijana umefeli.
 
Dada yangu ungetupia kamzinga bana, kale kamradi ketu katakamilikaje sasa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahahaha lol! Njemba akizembea atapinduliwa vidume vinavyomhusudu dada yako si vya mchezo mchezo.
Nitaandamana Aisee.

Sasa ngoja nitunge wimbo wa kuimba wakati naandamana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaaaa. Ameniamulia aisee.

Mie mzima kabisa kaka. Habari ya jumapili?
Na kweli kakuamulia aisee maana hadi mtu akuanzishie uzi ujue ameumia vya kutosha muda mrefu sana.

Za jumapili njema sana dada.
Kama uko mzima nafurahi sana, pia nikutakie mwisho wa jumapili iliyo njema kwako na familia yako katika ujumla wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…