Dada, kama unataka kuolewa zama hizi kaa kijanja

Hakuna mwanaume bila pesa mkuu ila kwa wanawake sijui
 
Aisee ni ngumu sana kumpata unaeona yuko sawa... kunammoja alikua kanyooka vizuri tu, sijui shetani gani akaingilia nikawa na muignore bila sababu...
Yaani hata akiandika jina langu kwa herufi ndogo namletea shida siku nzimaa...
Nimemkumbuka saana
 
Kupata mke wa kuona ni shughuli haswa nina miaka kama mitano wanawake miyeyusho tu
Miaka hii hakuna wake mkuu ni malaya tu wanageuzwa wake.

Na kahaba kumfanya mke ni changamoto sana kwa kifupi haiwezekani

Oa lakini at your own risk litakalokuta na likukute
 
Miaka hii hakuna wake mkuu ni malaya tu wanageuzwa wake.

Na kahaba kumfanya mke ni changamoto sana kwa kifupi haiwezekani

Oa lakini at your own risk litakalokuta na likukute
Acha kabisa kuna dada mmoja mtaani alikuwa ametulia kila mwanaume anakula za uso tukasena eeeeh huyu si ndiyo mke, siku ya siku akakutwa kwenye danguro akapigwa picha kama zote kuja kuletwa mtaani alihama fasta acha kabisa ukimuona mwanamke mgumu fuatilia kwanza
 
Kama sio bikira huyo ni malaya

Usijisumbue hata kutafuta kama anajiuza au kuangalia simu yake kama ana mabwana wengine zaidi yako
 
Nachukua madini hapa...

Wanawake ni viumbe wagumu sana kushinda hata Quantum physics au hesabu za Calculus.

Ndio maana kina Nicola Tesla, Isaac Newton wanawake waliwashinda, ila mafizikia waliyacharaza sana.
 
Binafsi ninatafuta mke wa kuoa more than 2 years tangu niamue hili ila bado sijamuona. Nakutana na wanawake wanakatisha tamaa kwa kweli.

Kupata mke anaejielewa ni kazi ngumu kwa mwanaume kuliko kutafuta pesa
punguza vigezo utampata,,ila huwezi pata perfect bwana,, mengne utamfunza weye.
 
Perfect perfect perfect
 
nimemsomea mdada hiyo sentens ya kumnyima mtu eti hadi ndoa alichonijibu ni kuwa, unamnyima mtu kitumbua wakati akizunguka nyumba ya pili tu anapewa fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…