Sawa kaa NJE basi watu wakuone ukikimalizia KIPENSELI usijifungie ndaniapana ndo najifunza sasaivi apa
nje nitapigwa mawe mkuuSawa kaa NJE basi watu wakuone ukikimalizia KIPENSELI usijifungie ndani
So unataka kusema bikra haina uzito kwa mwanaume kuchagua mke sahihi? [emoji848]As long as mwanaume anakupenda na ana malengo nawewe there's no way akasitisha mpango wa kuoa kisa mwanamke hana bikra. hio hoja ina nguvu kwa kuwa wanaume tuna access na sex muda wote sababu wanawake wameshindwa kujisitiri wanagawa tu ovyoovyo bila formula.
Sisi wanaume tuna tabia ya kukinai uchi mmoja haraka na kutamani mwingine kwa sababu ndo tumeumbwa ivo. So ili tuoe ni lazima tutengenezewe mazingira ya "kiu" na "uchu"
NJE ndio kuzuri unawasha UDI kufukuza MAJINInje nitapigwa mawe mkuu
Una MPANGO wa kuoa Bikra? Km Jibu ni NDIO nenda kaweke pre-order MAPEMA kabla Wahuni hawajafanya yaoSo unataka kusema bikra haina uzito kwa mwanaume kuchagua mke sahihi? [emoji848]
Na wewe ukiwemo???poleni sana,, wanawake ni wengi ila wanaofaa kua wake ni wachache sana kushinda ata wanaume kwasasa😄,,ongezeni nyuzi za mafunzo labda tutakaa kwenye line.
Hakuna majini ukuNJE ndio kuzuri unawasha UDI kufukuza MAJINI
HaswaaaaaNa wewe ukiwemo???
Wanapita kwa NYUMA mbele huwezi ukawaona sasa wakikupanda kichwani NDIO utasema km wapo au HAWAPOHakuna majini uku
wacha kunitishia sasa nawew looohWanapita kwa NYUMA mbele huwezi ukawaona sasa wakikupanda kichwani NDIO utasema km wapo au HAWAPO
Umesema vyema,lakini mbuzi za siku hizi unakuta zinavesha pete wanawake waliobeba makopo katikati ya mapaja yao huku zimepiga magoti.Mwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.
Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.
Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Wewe ndio unawapotosha Yani kashalala na wanaume kibao kasha mwanamke ameshaliwa sana sababu ya kukosa hela ya marejesho aje anisubirishe Mimi Hadi ndoaMambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!!
Kiukweli zama zimebadilika sana
ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu ili mpate headlines za kuwasimulia shoga zenu.
sasa leo nawaibia siri ukitaka mchumba wako awe siriaz na suala la kukuoa mnyime tendo mwambie mpaka ndoa. Hii ni kwa wale namba E na D zilizochangamka
Kwa wale namba A mpaka C hama mtaa ikibidi mkoa [nenda sehemu ambayo hawakujui kabisa] kisha badili lifestyle yako, kama ulikua mtu wa pombe sana na kujiachia acha, vaa kwa adabu mwanamke kujisitiri, anza kwenda kanisani/msikitini na kwenye matukio kama sherehe za harusi and the like sio kwenye shughuli.
Asikwambie mtu hakuna mwanamke bila mume and vice versa. Mtu yeyote anaekwambia kuwa ndoa sio muhimu na haina maana mfutilie mbali kabisa ikiwezekana mtupie majini ata 7 yamshikishe adabu.
Mwisho kabisa kuwa submissive kwa mchumba wako/utaempata
Ni hayo tu
Mr kumpata mwanamke anaefundishika labda at least apate binti ambaye yupo around 18-22 ndo unaweza kumtrain vzr na yupo flexible sana kujifunza mambo mengi pia anakua hajaumizwa sana na mahusiano maana wengi ndo unakuta wanahitimisha safari zao za kielimu wanakua wameonjwa onjwa tu kawaida.Kama Wewe upo hatua fulani ya ufahamu wa juu ,
Zingatia haya mambo tafuta mwanamke yeyote mwenye uwezo Wa kufundishika na kufata falsafa zako utakazompa um-train then ukiona anamwelekeo mzuri muoe
Nchi yetu ukiwa value man kupata value woman ni ngumu Sana
Kuna wanawake wazuri Sana wa sura na maumbo Ila hawana presence
Doesn't matter she is ugly or beuty when she is teachable she is deserve to be married.
Imekuwaje tena?Kataa ndoa, linda uhuru wako......
Mimiiii?!!!! Mke wa mtu??? Umechanganya id kaka....Imekuwaje tena?
Hapo nyuma nilikuwa nakusoma ukijinasibu kama mke wa mtu nini kilitokea pande hizo?
ila sina uhakikaMhh...good.
Time will tell!
Anha,vizuri!ila sina uhakika
sijaandka nikiwa nmelewa npo timamu kwaio najua,,ila sio mbaya kuandka unachofkiria kwa mda uo haswaaaa hum jfAnha,vizuri!
But bora ukawa neutral maana leo hujui maana ya ulichoandika pale juu siku utakapojua utakosa wa kumlaumu,sikuombei ufike huko.