Kwamba wote ulowaona hawafundishiki?Kumfunza pia lazima awe na msingi wa kufundishika. Ndio maana hata engineering degree zinataka kwanza uwe umefaulu physics na mathematics.
Mtu anapaswa aoneshe dalili ya kufundishika. Hata wewe naweza kupa challenge uone uhalisia
Kwamba wote ulowaona hawafundishiki?
Duh,,au unafata wenye wowowo yaani full outer beauty?Wanawake wengi siku hizi hawafundishiki ama hawataki kufundishika. Debate na mabishano ndio hobbie zao
Kwaiyo unataka asiolewe kisa kalala na wanaume wengi, how? btw huu uzi nimetoa code kwa wanawake ili wapate kuolewa regardless of their sexual background so ukigundua kuwa kaliwa sana ila anafaa kuwa mke ishi nae ila uwe mchepukaji mzuri kujiridhisha huko nje kuliko kuoa ambae mileage zinasoma kms chache af akaja kuwa kicheche kwenye ndoaWewe ndio unawapotosha Yani kashalala na wanaume kibao kasha mwanamke ameshaliwa sana sababu ya kukosa hela ya marejesho aje anisubirishe Mimi Hadi ndoa
Atapewa lakini bado atakuwa na uchu na ya huyo alomnyima, thats where my point isnimemsomea mdada hiyo sentens ya kumnyima mtu eti hadi ndoa alichonijibu ni kuwa, unamnyima mtu kitumbua wakati akizunguka nyumba ya pili tu anapewa fasta
woooiii apo ushapata mke mwema,, wajanja wamesha jiongeza apo
Hao mabikra wakiolewa hawachepuki? Shughulisha ubongoSo unataka kusema bikra haina uzito kwa mwanaume kuchagua mke sahihi? [emoji848]
πππ Hutaki wachumba wa umu,,ila tayariFuta ile comment yako plz
Mkuu upo vizuri.Mwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.
Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.
Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Tukipewa tunazikinai haraka tunataka zingineUwaonye pia kuwa tukusubirishwa sana siku tukiipewa hatuitaki tena, so watupee tu. Ndoa hauwezi kuwa malipo ya kupewa K.
kibantu chepesi ni kuwa wawe na utii kwa hao wachumba zao sio wanakua na midomo kama chirikuKOOOTE umeandika vizuri HAPO tu ndio umeharibu kuwapa HUO msamiati mgumu wengine hawaelewi what is submissive? Kwanini usingeandika Kiswahili km ulivyoandika huko JUU
Next time kama huna kazi ya kufanya kausha kuliko kuandika nonsense, hujalazimishwa kureplyVijana mkilishwa mkashiba makande ya waume wa dada zenu mnaenda kulala sebulen mnakuja jf kutuandikia upumbav
Mkuu omba usizae jinsia ke ulivyoshauri kana kwamba upo serious kumbe haupo serious at allMwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.
Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.
Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
hahahah watapita wanasonya tuuu hapa πππMwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.
Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.
Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Ushakalia dyudyu unajibu ujingaNext time kama huna kazi ya kufanya kausha kuliko kuandika nonsense, hujalazimishwa kureply
Faki you.!!