Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Japo umetoa NB lakini hichi kizazi Cha kusema kwa kuzunguka zunguka na kuficha hata kwa kidogo japo imeeleweka kwa kiasi , Inabidi kiishe au kifutike kabisa.
Kizazi jeuri chakuhoji na kusema pasina na kificho Cha level yoyote ya USiri iwe Stiri, Siri sana au imezuiliwa, Ndio kitainyanyua Tanzania.
Lakini hizi ngonjera za kubembelezana kama Nchi Ni Mali ya mtu Mmoja au ki grupu Cha watu kutaendelea kuwa na Chawa wa umri wote.