Mimi nitoe!Watanzania wengine wote
Poa poa tumekupata. Haya turudi kwenye mada husika, unaizungumziaje ibara ya 100 ya katiba ya CCM?Wajumbe ñi wanafiki sana! Hela zimeisha ndo mnakuja kulia mtandaoni! Kwenye kikao si mlikuepo?? Mtu ambaye sio mnafiki ni mpina tu! Yeye hakuunga mkono kwa kutosimama kushangilia lakini wengine wote ni wachumia tumbo tu! Pesa ikiisha ndo akili zinawarudi
Huyo ni mwanasheria alafu mwandishi nguli ambaye keshapitia misukosuko mingi kutokana na maandiko yake kwahiyo mpe heshima yake usije dhani huyo ni sawa na Zero IQ.Dodoma ulikuwepo na yalio jiri uliyashuhudia.
Hapa umekuja kuleta hoja ambayo pia umejitahidi kuzunguka weeeee hata sijui unahofia nini kumtaja wakati andiko lako nime muweka wazi.
Anyways........
Naskia unasubiria uteuzi, na kuna tetesi kwamba uliomba kuonana nae lakini black suits wakakutosa.
Nami sijataja jina kama ulivyo elekeza mkuu...😊
JanuaryKwani Mama anamuogopa nani?
Kassim Majaliwa?
Haogopi wapinzani bali anaogopa wadogo zake wa damu.Nilishangaa sana katika wakati ambao Upinzani ulionekana uko vipande vipande, bado MTU anataka mseleleko?
Hata hivo nikaandika, Kosa lilelile alofanya JPM kufurahia habari za Machawa kumtaka aongoze milele, ndio hilohilo analofanya Dada yako yaan wote walifurahia uvunjajinwa Katiba.
Ukiangaliaa Kwa mbali sana, Utagundua Amejaa kwenye Mfumo wa Kuondoshwa kama ilivyokua .
Mungu anaweza kukupa Uongozi ila Kwa mpito tu yaan kipindi fulan, kikishapita, Usilazimishe .
Mkwere ni snitch, ogopa mtu anakushauri jambo halafu anakuambia za kuambiwa changanya na za kwako.Mzee anavyoongea tu unajua kunajambo haliko sawa..Unaweza fikiri anamjengea mama kumbe anaagenda yake..Mkwere sio mtu mzuri kabisa
Wala siyo anaomba uteuzi he is just a whistle blower,kuna fukuto.Dodoma ulikuwepo na yalio jiri uliyashuhudia.
Hapa umekuja kuleta hoja ambayo pia umejitahidi kuzunguka weeeee hata sijui unahofia nini kumtaja wakati andiko lako nime muweka wazi.
Anyways........
Naskia unasubiria uteuzi, na kuna tetesi kwamba uliomba kuonana nae lakini black suits wakakutosa.
Nami sijataja jina kama ulivyo elekeza mkuu...😊
No longer at Ease.Unakimbia ....ulanzi bado upo mwingi tu..
Mwenzako kaandikaaa kazuunguukaa kumbe sentensi moja tu
Na ndiyo maana ya andiko lake. Si unajua uandishi wake usome katikati ya mistari.Uncle Paskali sielewi mantiki ya hili andiko, umesifia na kuponda kiaina. Kimsingi Wadau wa demokrasia ndani na nje ya Chama hawajafurahishwa na kilichofanyika pale Dodoma.
Afande Mafwele yuko standby ujue.Kaka yangu Pascal Mayalla unaangaika sana kujipendekeza ndugu yangu. Yaani badala ua kuwa straight to the point unazunguka wee ilimradi uonekane haujamkosoa mama.
Lakini ndugu yangu nikukumbushe kwamba wewe ni mkristo, naa maadiko ya kikristo yanatukataza sana kuwa ndumilakuwili ieleweke wazi WEWE NI BARIDI AU JOTO NA SIO VUGUVUGU.
Wewe ulipaswa unyooshe rula (maelezo) kwa huyo dada yako kwamba jambo ulilofanya kwenye ule mkutano wa Dodoma ni UBAKAJI WA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA HIVYO TUBU URUDISHE MCHAKATO HALISI WA KUMPATA MGOMBEA WA CHAMA KWA KUPIGIWA KURA.